Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

Kwanini hujahitaji mawazo ya chama kipya tangu Uhuru bado unachagua cccm jinga kabisa
Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
 
MwambaTuvushe ---- Mbowe hakuna kutoka kwenye Uwenyekiti ...Ukiona CCM hawakutaki basi jua umewakamatia pabaya...Hawa kina Komu ni watu wenye pricetag wananunulika ndio maana clips zake zilivuja.
 
Huyo bwana anayetaka uwenyekiti ni mtu wa character gani na ana mkakati gani kupambana na huu udikteta uliyotamalaki asijekuwa another Cheyo, Mrema au Lipumba.

Nina mashaka naye sana. Ccm kuua vyama makini vya upinzani ni muhimu kuliko hata hizo White Elephants wanazohubiri.
Ukweli ni kwamba huyo aliyejitokea hafai, namfahamu vyema hana character nzuri, nilishakutana nae kwenye huduma flani ambayo iliniwezesha kumfahamu ni mtu wa aina gani.
Kama chadema wanahitaji mabadiliko basi wawe makini sana na mrithi wa Mbowe.
 
Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
Huyo ni wale waliokimbia chama tawala baada ya majina yao kufyekwa 2015. Bado hajakomaa na kuweza kuaminiwa kiasi icho kushika iyo nafasi. Ila kama watafanya kama walivyompa mzee mamvi 2015 basi wakubali kutumbukia shimoni.
 
Uchaguzi wa ndani CHADEMA

Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.

Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.

Anasema katika kikao hicho kilichoongozwa na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mhe Anthony Momu ni meya mmoja tu aliyekataa kuchangia ambaye ni Mhe Boniface Jacob Meya wa Manispaa ya Ubungo ambaye alilazimika kutoka kikaoni na kuondoka.

Mhe Mwambe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, wenyeviti wa Halmashauri na Mameya pamoja na viongozi wa kanda 5 walioamua kusimama naye.

View attachment 1271025
Hizo ni fix tu Wachagga na Wahaya huwa hawatupani hata siku moja!
 
Ukweli ni kwamba huyo aliyejitokea hafai, namfahamu vyema hana character nzuri, nilishakutana nae kwenye huduma flani ambayo iliniwezesha kumfahamu ni mtu wa aina gani.
Kama chadema wanahitaji mabadiliko basi wawe makini sana na mrithi wa Mbowe.
Hizo ni chuki binafsi.

Mwambe amekuwa kiongozi bora tangu akiwa shule namfahamu vizuri!
 
Uchaguzi wa ndani CHADEMA

Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.

Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.

Anasema katika kikao hicho kilichoongozwa na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mhe Anthony Momu ni meya mmoja tu aliyekataa kuchangia ambaye ni Mhe Boniface Jacob Meya wa Manispaa ya Ubungo ambaye alilazimika kutoka kikaoni na kuondoka.

Mhe Mwambe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, wenyeviti wa Halmashauri na Mameya pamoja na viongozi wa kanda 5 walioamua kusimama naye.

View attachment 1271025
Chadema nawapenda.hakikisheni mbowe anakua mwenyekiti
 
Mbowe ameipigania sana CHADEMA na aliwagharimu CHADEMA kumleta Lowasa. Baada ya Lowasa kurudi CCM angejiuzulu.Akiendelea kuwa mwenyekiti, ataharibu zaidi.

Inatosha kuishia hapa aondoke na legacy yake. Maana tangu kina Zito we all know kwamba hataki kuachia. Akiondoka sasa atakuwa amewaprove wrong wengi.

Kuishi kwa taasisi ni uwezo wa waanzilishi kutengeneza imani na waamini halisi ambao watakuwa tayari kuendeleza yale mazuri hata baada ya vizazi kubadilika.
Washington aliweza, Mao kaweza.

Kama Mbowe hana watu wakuendeleza mpaka sasa basi akitoka itakuwa ndo mwisho wa CDM na wanaomng'ang'ania sasa kiimani hawako na CDM maana hawako tayari kuibeba dhima ya chama hapo wanaogopa maslahi yao kuguswa tu.
Na kuhamahama huku kunaonesha humo amefuga by-standers wengi kuliko wanavyojiaminisha.
Aondoke kabla hajabaki kama Lipumba.
Nyerere aliona aibu hiyo baada ya kushindwa kuwa na waamini wa ujamaa alijiondoa na akafa shujaa.
 
Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
Picha hii nayo ndo...?
 
Acha upoyoyo sema unataka kuona chadema inafutika,mimi sio chadema but mbowe angekuwa kama akina lupumba chama kingekuwa kimisha kufa.
Labda kwa watu strong na ambao wameshapitia misukosuko kama Halima Mdee, Gobless Lema lakini hao wengine(possibly mapandikizi ya Jiwe) chama lazima kigeuzwe tawi la CCM kama kilivyo CUF kwa sasa.
 
Sarakasi za kumtengezea njia mbowe na genge lake
 
nashangaa sana comments za watu . wanadai wachadema wafanye uchaguzi . uchaguzi unafanyika , wanataka mtu . wenye kuijua chadema na wenye mapenzi mazuri na chadema ,wanataka mbowe . wao imekuwa hapana . hakika nimegundua kuwa mbowe akiondoka tu , chadema kwaheri mwalimu!.

ni wakati wa kuangalia , kwa nini mbowe anazungumziwa sana kupisha nafasi kwa wengine . kwa nini wasizungumzie mazuri yake kwa kuifikisha hapa chadema . nina imani na mbowe, hakika anastahili kuendeleza hii kazi .

ukomavu ni uwezo wa kutunza asili.
 
Komu na kubenea sio hawa walitaka kujiunga na CCM issue ikavuja wakaomba msamaha!!! Wamekuja kivingine!
 
Back
Top Bottom