Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

Mbowe15Imetosha

MBOWE HIZI PESA ZOTE ZINAKWENDA WAPI?

Chadema inapokea ruzuku ya takribani milioni 337 kila mwezi kutoka serikalini. Michango na makato kutoka kwa wabunge wa viti maalum kila mmoja anachangia milioni 1 kila mwezi Wabunge wakuchaguliwa kila mmoja anachangia laki 5 kila mwezi

Mameya wanaotokana na chadema wanachangia kila mmoja laki 5 kila mwezi. Mameya watokanao na chadema ni 7 hivyo kwa jumla yao kila mwezi wanachangia shilingi milioni 3.5. Wenyeviti wa halmashairi watokanao na chadema ni wanne na wanachangia laki 3 kila mwezi hivyo jumla kila mwezi ni shilingi milioni 1.2

Madiwani wa viti maalum wanachangia asilimia 15 ya posho zao kila wanapopokea. Madiwani wakuchaguliwa wanachangia 6% ya posho zao kila wanapopokea

AJABU SASA

Mpaka leo chadema inakodi Majengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa kulipa mamilioni. Ifahamike Sabodo amewahi kuchangia milioni 200 ili wanunue eneo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi badala yake haifahamiki pesa hizo zilikwenda wapi?

Chadema ina magari 5 tu aina ya pick up hilux ambazo kila baraza kuu na mkutano mkuu ukifanyika hupelekwa gereji kupigwa rangi na kufanyiwa ukarabati huku zikipewa namba kama vile 56 au 73 au 15 au 90 kuashiria zipo zaidi ya hizo ila ukweli hakuna zipo hizo hizo. Fedha za kununua gari hizi ilitolewa na chama rafiki cha conservative na CDU walitakiwa kununua gari 150 kwa matumizi ya kanda, mikoa, wilaya na makao makuu lakini hazikununuliwa. Subiri maigizo mkutano mkuu zitaletwa gari hadi za kukodi na kuandikwa M4C gari namba 45 nk

Tumuulize Mowe kweli kwa fedha hizi zote watendaji wa Chama kwenye mikoa na kanda wameshindwa kulipwa? Ofisi za kanda na mikoa za Chama zimeshindwa kulipiwa na chama?

Chama Cha siasa kuwa taasisi imara inahitaji pia rasilimali hususani vitendea kazi ikiwemo ofisi, magari, pikipiki, nguvu kazi yenye ubora nk chadema inakwama wapi?

Miaka 15 ya Mbowe inatosha. Chama hiki kina wanachama wengi ni aibu na ajabu kuona mwanachama mmoja kutaka kuongoza vipindi vinne wakati tunahubiri demokrasia na kupinga wasioheshimu ukomo wa uongozi.

Alipotaka Chacha Zakayo Wangwe ulichukia na mauti ukamtafutia....

Alipojaribu Zitto mara ya kwanza mwaka 2007 ukamtumia wazee atulie utapisha mbeleni.. Akatulia

Aliporejea tena Zitto mwaka 2014 kwa kuonesha nia akaundiwa zengwe kuwa ni msaliti na nyadhifa zote mkamvua hadi akawakimbia na kuanzisha chama chake cha ACT WAZALENDO...

*BASI SISI WAPENDA MAGEUZI TUNASEMA MBOWE MIAKA 15 IMETOSHA, PISHA FIKRA MPYA, BAKI KUWA MSHAURI. UKIONDOKA SASA WAKATI CHAMA KIMEPATA MAFANIKIO NI HESHIMA KWAKO.*
IMG-20191124-WA0045.jpeg
 
Mbowe usiwalikilize hao vichaa ,sio wanachadema ni mamluki yamepandikizwa
 
Mbowe15Imetosha

MBOWE HIZI PESA ZOTE ZINAKWENDA WAPI?

Chadema inapokea ruzuku ya takribani milioni 337 kila mwezi kutoka serikalini. Michango na makato kutoka kwa wabunge wa viti maalum kila mmoja anachangia milioni 1 kila mwezi Wabunge wakuchaguliwa kila mmoja anachangia laki 5 kila mwezi

Mameya wanaotokana na chadema wanachangia kila mmoja laki 5 kila mwezi. Mameya watokanao na chadema ni 7 hivyo kwa jumla yao kila mwezi wanachangia shilingi milioni 3.5. Wenyeviti wa halmashairi watokanao na chadema ni wanne na wanachangia laki 3 kila mwezi hivyo jumla kila mwezi ni shilingi milioni 1.2

Madiwani wa viti maalum wanachangia asilimia 15 ya posho zao kila wanapopokea. Madiwani wakuchaguliwa wanachangia 6% ya posho zao kila wanapopokea

AJABU SASA

Mpaka leo chadema inakodi Majengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa kulipa mamilioni. Ifahamike Sabodo amewahi kuchangia milioni 200 ili wanunue eneo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi badala yake haifahamiki pesa hizo zilikwenda wapi?

Chadema ina magari 5 tu aina ya pick up hilux ambazo kila baraza kuu na mkutano mkuu ukifanyika hupelekwa gereji kupigwa rangi na kufanyiwa ukarabati huku zikipewa namba kama vile 56 au 73 au 15 au 90 kuashiria zipo zaidi ya hizo ila ukweli hakuna zipo hizo hizo. Fedha za kununua gari hizi ilitolewa na chama rafiki cha conservative na CDU walitakiwa kununua gari 150 kwa matumizi ya kanda, mikoa, wilaya na makao makuu lakini hazikununuliwa. Subiri maigizo mkutano mkuu zitaletwa gari hadi za kukodi na kuandikwa M4C gari namba 45 nk

Tumuulize Mowe kweli kwa fedha hizi zote watendaji wa Chama kwenye mikoa na kanda wameshindwa kulipwa? Ofisi za kanda na mikoa za Chama zimeshindwa kulipiwa na chama?

Chama Cha siasa kuwa taasisi imara inahitaji pia rasilimali hususani vitendea kazi ikiwemo ofisi, magari, pikipiki, nguvu kazi yenye ubora nk chadema inakwama wapi?

Miaka 15 ya Mbowe inatosha. Chama hiki kina wanachama wengi ni aibu na ajabu kuona mwanachama mmoja kutaka kuongoza vipindi vinne wakati tunahubiri demokrasia na kupinga wasioheshimu ukomo wa uongozi.

Alipotaka Chacha Zakayo Wangwe ulichukia na mauti ukamtafutia....

Alipojaribu Zitto mara ya kwanza mwaka 2007 ukamtumia wazee atulie utapisha mbeleni.. Akatulia

Aliporejea tena Zitto mwaka 2014 kwa kuonesha nia akaundiwa zengwe kuwa ni msaliti na nyadhifa zote mkamvua hadi akawakimbia na kuanzisha chama chake cha ACT WAZALENDO...

*BASI SISI WAPENDA MAGEUZI TUNASEMA MBOWE MIAKA 15 IMETOSHA, PISHA FIKRA MPYA, BAKI KUWA MSHAURI. UKIONDOKA SASA WAKATI CHAMA KIMEPATA MAFANIKIO NI HESHIMA KWAKO.*View attachment 1272230
Acha wajinga waibiwe mpaka wachoke. State agent
 
Wasalaam, nianze kwa kukushukuru mh mbowe kwa uongozi wako uliotukuka na wa kuingwa kwa kuiongozi chadema imara mpaka Leo, kazi yako ni kubwa huwa naifananisha na kazi kubwa ya kuijenga imara iliofanywa nà katibu mkuu wa zamani Dr Willbroad slaa.

Kwa siasa za sasa mh nakushauri usigombee tena nafasi ya uenyekiti waachie damu changa waongoze chama, kumbuka chadema ndio matumaini na kimbilio la watanzania. Kaa pembeni km mzee nyerere, basi chagua kijana unaemwamini mkabidhi chama ili ashirikiana na wanachadema na watanzania watuvushe ktkt mawimbi haya mazito.
Ova.
 
Mawazo yake ya zamani ni yapi,

Kaa na mumeo umjuze huo ujinga wa lumumba
 
Ukizoea kula nyama ya watu huwezi kuacha
 
Upande wa pili wanahangaika sana.Jamani tusherwhekee uahindi mambo ya Chadema tuwaachie wenyeww
 
Wasalaam, nianze kwa kukushukuru mh mbowe kwa uongozi wako uliotukuka na wa kuingwa kwa kuiongozi chadema imara mpaka Leo, kazi yako ni kubwa huwa naifananisha na kazi kubwa ya kuijenga imara iliofanywa nà katibu mkuu wa zamani Dr Willbroad slaa.

Kwa siasa za sasa mh nakushauri usigombee tena nafasi ya uenyekiti waachie damu changa waongoze chama, kumbuka chadema ndio matumaini na kimbilio la watanzania. Kaa pembeni km mzee nyerere, basi chagua kijana unaemwamini mkabidhi chama ili ashirikiana na wanachadema na watanzania watuvushe ktkt mawimbi haya mazito.
Ova.
Umetumwa?
 
Nadhani ungewashauri chama jambazi ccm wapishe chadema waongoze serikali lingekuwa jambo la maana. Tangu Uhuru watanzania bado masikini hebu tuangalie alternative jamanii
 
Ninakubaliana na hoja yako.

Ingawaje itawafurahisha sana CCM Mh. Mbowe akiachia ngazi, kwa matarajio na matamanio ya kuimaliza kabisa CHADEMA; ifike mahali CHADEMA nao waanze kujiamini na kuacha woga. Kuna viongozi wengi ndani ya chama ambao wanaweza kabisa kuendeleza mapambano, na hata kuyashinda kama wakitambuliwa na kupewa nafasi.

Mbowe, hata akilazimishwa sasa hivi akubali kuendelea, kila wimbi litakaloelekezwa kwa CHADEMA, lawama zote atakuwa anatupiwa yeye binafsi.

Tumeona hali ngumu iliyomkabili yeye kama yeye, na hakuna kundi la wanachama lililojitokeza kusimama na kiongozi wao katika majaribu yote hayo.
Sasa ametegeshewa 'kesi' tayari, ambayo itatumiwa kukikwamisha chama kisimudu kusimamia mapambano. Kwa nini wananchama na wapenzi wa chama hiki hawalioni hili?
 
Kwa hiyo asipogombea hiyo kesi itawekwa pembeni na chama chake kitaondolewa pingamizi zote zinazokikwamisha kumudu mapambano? Kwa maneno mengine kitabebwa na chama tawala ili kiendelee na mapambano. Wanachotakiwa kufanya ni kumtema Mbowe tu!

Amandla........
 
Ninashukuru kalamu1 kwa kuliona hili kwa uhalisia wake. Hii hatari nimeshaiona iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti huu unajisi wa box la kura utatumika kipropaganda kuwa watu haiwachagui cdm maana haina demokrasia. Pia hatari nyingine kubwa kabisa ninavyoona, cdm ndio chama kinachopendwa kiukweli kwa ushawishi wa kisiasa, iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti bila sisi kukataa kwa nguvu zetu, hiyo itatumika kama kinga ya kumuongezea Magufuli muda wa kuendelea kukaa madarakani, maana watakaopinga Magufuli kuendelea kukaa madarakani ni cdm kuanzia wanachama wake mpaka mashabiki. Je iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hiyo nguvu tutaitoa wapi? Faida za Mbowe kuendelea kuwa madarakani ni ndogo kuliko hasara zake. Katika hili nimesema msimamo wangu utakuwa wazi kama nilivyopinga Lowassa kupewa tiketi ya kugombea urais, na sasa karudi zake ccm.
 
Nadhani ungewashauri chama jambazi ccm wapishe chadema waongoze serikali lingekuwa jambo la maana. Tangu Uhuru watanzania bado masikini hebu tuangalie alternative jamanii
Alafu na wewe utakuta unapinda viuno kulalamika kwamba hakuna democrasia
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania wanahitaji upinzani imara.Katika mazingira ya wapinzani kuuawawa, kutekwa, kununuliwa kufungwa na kupigwa risasi sio rahisi kupata kiongozi kama Mbowe. Hisia yangu ni kwamba wanaotaka Mbowe aondoke ndio hao hao wapiga risasi, watekaji nk nakwamba mbinu zao hizo kwasababu zimeshindwa kumdhoofisha katika kupigania haki ya kuendesha siasa nchini na kwasababu ya ufuasi kwake unakuwa wanamtupia kila aina ya ubaya ili kumchonganisha na wafuasi wake. Naamini watanzania wataona hila hizi na kuzipiga chini
 
Kwa hiyo asipogombea hiyo kesi itawekwa pembeni na chama chake kitaondolewa pingamizi zote zinazokikwamisha kumudu mapambano? Kwa maneno mengine kitabebwa na chama tawala ili kiendelee na mapambano. Wanachotakiwa kufanya ni kumtema Mbowe tu!

Amandla........
Sijasema hivyo hata kidogo. Unataka kuniwekea maneno ambayo sijayasema kabisa, na wala sina sababu ya kuyasema.
 
Hujamuomba asigombee? Haujasema ametegeshewa kesi ambayo itatumiwa kukikwamisha chama katika mapambano yake? Kama hii kesi ametegeshewa Mbowe, si maana yake asipogombea haitakuwepo? Au kama itaondolewa kwa sababu Mbowe hagombei si itakuwa namna moja ya kukisaidia chama chake? Na kama kusudi la kesi ni kukidhoofisha chama na sio Mbowe hauoni kuwa atakayemrithi nae atakuwa na kesi nyingine kama hiyo na kufanya uamuzi wa Mbowe kutogombea ili kukinusuru chama chake usiwe na maana yeyote? Au hamna kesi Mkuu?

Amandla.....
 
Ninakubaliana na hoja yako.

Ingawaje itawafurahisha sana CCM Mh. Mbowe akiachia ngazi, kwa matarajio na matamanio ya kuimaliza kabisa CHADEMA; ifike mahali CHADEMA nao waanze kujiamini na kuacha woga. Kuna viongozi wengi ndani ya chama ambao wanaweza kabisa kuendeleza mapambano, na hata kuyashinda kama wakitambuliwa na kupewa nafasi.

Mbowe, hata akilazimishwa sasa hivi akubali kuendelea, kila wimbi litakaloelekezwa kwa CHADEMA, lawama zote atakuwa anatupiwa yeye binafsi.

Tumeona hali ngumu iliyomkabili yeye kama yeye, na hakuna kundi la wanachama lililojitokeza kusimama na kiongozi wao katika majaribu yote hayo.
Sasa ametegeshewa 'kesi' tayari, ambayo itatumiwa kukikwamisha chama kisimudu kusimamia mapambano. Kwa nini wananchama na wapenzi wa chama hiki hawalioni hili?
Ni kweli mkuu hapa kuna hatari ya kupasua chama vipande2
 
Back
Top Bottom