Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
Ukweli ni kwamba huyo aliyejitokea hafai, namfahamu vyema hana character nzuri, nilishakutana nae kwenye huduma flani ambayo iliniwezesha kumfahamu ni mtu wa aina gani.Huyo bwana anayetaka uwenyekiti ni mtu wa character gani na ana mkakati gani kupambana na huu udikteta uliyotamalaki asijekuwa another Cheyo, Mrema au Lipumba.
Nina mashaka naye sana. Ccm kuua vyama makini vya upinzani ni muhimu kuliko hata hizo White Elephants wanazohubiri.
Huyo ni wale waliokimbia chama tawala baada ya majina yao kufyekwa 2015. Bado hajakomaa na kuweza kuaminiwa kiasi icho kushika iyo nafasi. Ila kama watafanya kama walivyompa mzee mamvi 2015 basi wakubali kutumbukia shimoni.Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
Hizo ni fix tu Wachagga na Wahaya huwa hawatupani hata siku moja!Uchaguzi wa ndani CHADEMA
Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.
Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.
Anasema katika kikao hicho kilichoongozwa na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mhe Anthony Momu ni meya mmoja tu aliyekataa kuchangia ambaye ni Mhe Boniface Jacob Meya wa Manispaa ya Ubungo ambaye alilazimika kutoka kikaoni na kuondoka.
Mhe Mwambe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, wenyeviti wa Halmashauri na Mameya pamoja na viongozi wa kanda 5 walioamua kusimama naye.
View attachment 1271025
Hizo ni chuki binafsi.Ukweli ni kwamba huyo aliyejitokea hafai, namfahamu vyema hana character nzuri, nilishakutana nae kwenye huduma flani ambayo iliniwezesha kumfahamu ni mtu wa aina gani.
Kama chadema wanahitaji mabadiliko basi wawe makini sana na mrithi wa Mbowe.
Chadema nawapenda.hakikisheni mbowe anakua mwenyekitiUchaguzi wa ndani CHADEMA
Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.
Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.
Anasema katika kikao hicho kilichoongozwa na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mhe Anthony Momu ni meya mmoja tu aliyekataa kuchangia ambaye ni Mhe Boniface Jacob Meya wa Manispaa ya Ubungo ambaye alilazimika kutoka kikaoni na kuondoka.
Mhe Mwambe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wabunge, wenyeviti wa Halmashauri na Mameya pamoja na viongozi wa kanda 5 walioamua kusimama naye.
View attachment 1271025
Chadema ina mali zipi?Kwa udikiteita wa Jiwe kuua upinzani, hakuna kutoka Mbowe! Wakilogwa,CDMimekufa. Sioni wa kufilisiwa mali zake kama Mbowe akasimama ma Chadema, wataunga juhudi!
Picha hii nayo ndo...?Nimi si mwana chadema ila ninapenda sana pawe na chama cha mawazo mbadala kwa checks and balance.Endapo wanaona Cecil anafaa kukabiliana na sisa za JPM wampe. Japo binafsi sikumbuki hata sentesi yake moja ama sauti yake ama picha yake katika kutetea democrasia na maendeleo ya Taifa letu.View attachment 1271236
Kwani Ccm ilitengeneza huyu aliyekuwa anabeep?kwa hiyo mwenyekiti mbowe ameshindwa kumtengeneza mtu atayerithi mikoba mwenye uwezo wa kusimama bold kama yeye ?
Labda kwa watu strong na ambao wameshapitia misukosuko kama Halima Mdee, Gobless Lema lakini hao wengine(possibly mapandikizi ya Jiwe) chama lazima kigeuzwe tawi la CCM kama kilivyo CUF kwa sasa.Acha upoyoyo sema unataka kuona chadema inafutika,mimi sio chadema but mbowe angekuwa kama akina lupumba chama kingekuwa kimisha kufa.
Komu amejitambua sasa
Nasubiria ester bulaya atoe tamko
waiter leta bia nyingineKwani Ccm ilitengeneza huyu aliyekuwa anabeep?