Bado upo na mzigo wa ujinga, jielekekeze kwenye mada husika,angalia maudhui /mawanda ya uzi .
Achana na grammatical error, grammar sarufi hata English speakers ambao English ni lugha Mama Kwao hawajafaulu sana kwenye issue ya grammar,nenda East London, watu wanaongea gutter substandard english.
Njoo TZ watu hawajui tofauti ya maana baina ya neno HABARI,na HABALI.
Tofauti ya KURA na KULA..
Pia KURA na. KURARA , badala ya kula na kulala.
hiyo ni mifano michache.Katika paragraph zote umetafuta Kaneno kamoja tu badala ya kuangalia maudhui.
Kweli WEWE ni BUMUNDA,POPOMA wa kiwango Cha juu.
Naamini kweli UJINGA NI MZIGO ambao umeamua KUJITWIKA 🤔🤔