Mungu anampenda sana Samwel Sitta, watu wachache sana hupata second chance. Jinsi alivyo mess up na issue ya Richmond na hata kumuondolea ile heshima kubwa aliyokuwa nayo ya misimamo na kutoyumba. Nadhani Mungu amekupa nafasi nyingine ili urekebishe makosa.....Upo karibu sana kuvuka mstari mwekundu yote itategemea impartiality yako. Nikuambie hata wana CCM wengi mioyoni mwao wanataka usiegemee chama ili tupate katiba bora kwa mustakabali wa nchi yetu. Nani hajachoka na hali ya mambo sasa?
Kumbuka hii ni nafasi yako ya pili na kwa uhakikia kabisa nasema ya MWISHO...........Mungu amekupendelea
Kumbuka hii ni nafasi yako ya pili na kwa uhakikia kabisa nasema ya MWISHO...........Mungu amekupendelea