ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
Nyerere tunamkumbuka kwa kuiongoza nchi kupata uhuru Sitta tunataka tukukumbuka kwa kuandika katiba nzuri kwa Taifa letu,usiwaangali hao CCM, siyo ndugu zako ndo maana walikuwekea zengwe kugombee kiti cha spika na sasa wamekuachia maana walijua utashinda tu.