Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

Pamoja na Uimara wake Sitta akiamua kujiamini kupamba UKADA huwa anakwendaa mrama sana. Moja ya changamotoo kuu inayomkabilii na natumai wajumbe werevu watakuwa wanamwelewa kwa upungufuu huo na kama hatajirekebisha ataongozaa kwa mikikii na taaabuuu sana. Tutarajiee ubabe unaosukumwaa na hila za kiitikadi kutoka kwake...
 
As long as haja-compromise interest kabla ya kuchukua fomu sina tatizo naye. Swali linakuja, ana alliance na akina nani?
 
935197_692096290854356_659691062_n.jpg


Leo saa 10,Bunge la katiba litamchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la KATIBA,Wadau mnaombwa kuzingatia uzoefu,uadilifu,ujasiri na DIRA ya mgombea husika.

Somtimes CCM huona mbali sana... walijua kuwa spika wa bunge hatatakiwa kugombea uenyekiti wa bunhe la katiba ss ikabidi wamtoe sita wamuweke reserve ya bunge la katiba... coz hakuna anaye mkaribia sita...
 
Akishinda, anatakiwa aache legacy, mimi nimsifu mwenyekiti wa muda mzee Kificho kwa alipotufikisha, japo kama binadam alikuwa na mapungufu yake.
hakuwa mtu mwenye msimamo, bungeni watu wanabiga kelele bungeni kama wanafunzi wa chekechea
 
Kumbe kupata Madaraka ni kazi ngumu na gharama hapa Tanzania. Yaani tayari wanaume wamesha tayarisha vipeperushi na mabango! Sisi tunasubiri T-Shirts.
 
Nampongeza kabla kwani najua atashinda. Ana vision, conglats, weka maslahi yetu kama taifa kwaanZa.
 
Sina Imani na Samueli Sitta katika hili Kabisa,subirini tufike mwisho wa mchakato tuone!naamini kitu kimoja..........!
 
Najua atampiga pin lowassa...cc Pasco wa JF
 
Last edited by a moderator:
Sitta is the man for this.....jamaa nikichwa acheni masihara...namjua mimi anaingia saa tatu kazini saa tano ikifika deski lake jeupe kashamaliza kazi....sasa ndugu zangu wengine saa moja wamefika ofisini secretary watatu kila ukiingia ofisini mafaili yamepandiana kwenye meza mpaka humuoni bosi
 
Sina imani, mchakato ushavurugwa hivyo tutegemee matokeo mabovu na yakizandiki come whomever! hii ni kwasababu 98% ya wajumbe wametawaliwa na mihemko ya kisiasa!
 
Ameshashinda,Hakuna haja ya Kampeni ni Kupoteza Mda tu,Wajumbe Mtafakari kwanza Muafaka wa Vifungu vya 37 & 38 Vya Kanuni.
 
Somtimes CCM huona mbali sana... walijua kuwa spika wa bunge hatatakiwa kugombea uenyekiti wa bunhe la katiba ss ikabidi wamtoe sita wamuweke reserve ya bunge la katiba... coz hakuna anaye mkaribia sita...

nakubaliana nawe mkuu,hapa ni swala la mahesabu ndicho kilichofanyika na kiukweli Mh Sitta anaweza
 
Nasikia kaanguka ni kweli? hebu mlioko dodoma tujuze amejikwaa au mizimu ya wabaya wake imemdhuru?
 
Nasikia kaanguka ni kweli? hebu mlioko dodoma tujuze amejikwaa au mizimu ya wabaya wake imemdhuru?

wanasema ya kaisali na apewe kaisali na ya mungu apewe mungu
1779356_692432247487427_1207154164_n.jpg

Mh Samuel J.Sitta a.k.a CHUMA CHA PUA,Yupo imala kabisa kama unavyomuona hapo ktk harakati za kurudisha fomu za kugombea uenyekiti wa KUDUMU bunge maalumu la KATIBA​
 
Back
Top Bottom