Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.

Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa kisoka. Yule alikuwa mwamba haswaa. Na uongozi ule uliletwa na wapenda soka, wacheza soka wa zamani na wadau mbali mbali wa soka. Tenga bila kuonyesha tamaa, wakati bado wadau walikuwa wanamhitaji aliamua kung'atuka mara baada ya kipindi chake cha pili cha uongozi kwisha. Michezo ya rushwa na zengwe katika kuwania uongozi wa soka ilifutika kwa sehemu kubwa sana kupitia uongozi wa Tenga.

Kwa sasa TFF tuna Karia, ambapo kipindi chake cha pili cha uongozi kilitokea kwa utata mkubwa, mara baada ya wagombea wengine wote kuenguliwa kwa zengwe kubwa mnoo na Karia kubakia yeye mwenyewe.

Sasa uchaguzi wa TFF unakwenda kufanyika tena, sarakasi zile zile za miaka minne iliyopita za uongozi wa Saria zimerejea tena, ni mwendo wa mizengwe na rushwa tupu. Ni wazi hakuna mgombea atayepitishwa kugombea zaidi ya Karia mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, Karia hana mpango wowote wa kuondoka madarakani pale TFF, iwe sasa au hapo baadaye, uongozi wake hauko tayari hata kidogo kuruhusu uchaguzi huru na haki pale TFF. Namna pekee ya huu uchaguzi kuwa huru na haki ni uongozi wote wa Saria kutemeshwa bungo na asigombee kabisa ili kupisha watu wengine wapya kugombea.
 
Reform inahitajika kwenye taasis nyingi nchi hii
 
Utaratibu lazima ufuatwe... Rais anatumikia mihura miwili tu anapisha wengine..... Karia hana umhimu huo wakuongeza mhura mwingine.... Kama taasisi ndogo kama tff tutashindwa kuzuia uvunjifu wa katiba tutaweza kweli suala u-Rais wa nchi?.

#Karia must go
 
Na kwa nini agombee kwa mara ya 3 mgululizo? Anataka kuturudisha kwenye ile FAT ya Ndolanga? Maana watangulizi wake wote tangu TFF ilipoanzishwa (Leodgar Tenga na Jamal Malinzi) walihudumu mihula miwili pekee, na kuachiana madaraka!!

Sasa yeye ana uspecial gani mpaka agombee kwa mhula wa 3, kama siyo uroho wa madaraka? TFF ameigeuza kama shamba lake bila shaka! Nadhani tungekuwa tuna vyombo huru vya uchunguzi, huyu Msomali alitakiwa kuwa ndani mpaka muda huu kutokana na vitendo vyake vya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Utaratibu lazima ufuatwe... Rais anatumikia mihura miwili tu anapisha wengine..... Karia hana umhimu huo wakuongeza mhura mwingine.... Kama taasisi ndogo kama tff tutashindwa kuzuia uvunjifu wa katiba tutaweza kweli suala u-Rais wa nchi?.

#Karia must go
Walibadili Katiba kuruhusu uongozi bila Kikomo wakapeleka kusajili kwa msajili...
Njaa na rushwa mbaya sana.
 
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.

Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa kisoka. Yule alikuwa mwamba haswaa. Na uongozi ule uliletwa na wapenda soka, wacheza soka wa zamani na wadau mbali mbali wa soka. Tenga bila kuonyesha tamaa, wakati bado wadau walikuwa wanamhitaji aliamua kung'atuka mara baada ya kipindi chake cha pili cha uongozi kwisha. Michezo ya rushwa na zengwe katika kuwania uongozi wa soka ilifutika kwa sehemu kubwa sana kupitia uongozi wa Tenga.

Kwa sasa TFF tuna Karia, ambapo kipindi chake cha pili cha uongozi kilitokea kwa utata mkubwa, mara baada ya wagombea wengine wote kuenguliwa kwa zengwe kubwa mnoo na Karia kubakia yeye mwenyewe.

Sasa uchaguzi wa TFF unakwenda kufanyika tena, sarakasi zile zile za miaka minne iliyopita za uongozi wa Saria zimerejea tena, ni mwendo wa mizengwe na rushwa tupu. Ni wazi hakuna mgombea atayepitishwa kugombea zaidi ya Karia mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, Karia hana mpango wowote wa kuondoka madarakani pale TFF, iwe sasa au hapo baadaye, uongozi wake hauko tayari hata kidogo kuruhusu uchaguzi huru na haki pale TFF. Namna pekee ya huu uchaguzi kuwa huru na haki ni uongozi wote wa Saria kutemeshwa bungo na asigombee kabisa ili kupisha watu wengine wapya kugombea.
Na njia muafaka ni Takukuru na sieji kufanya kazi, ili isije onekana sirikali inaingilia michezo

The Spanish football federation (RFEF) has been embroiled in investigations and controversy following allegations of sexual assault and coercion against former president Luis Rubiales, as well as accusations of corruption. These issues have led to calls for reform and a significant crisis within the organization
 
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.

Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa kisoka. Yule alikuwa mwamba haswaa. Na uongozi ule uliletwa na wapenda soka, wacheza soka wa zamani na wadau mbali mbali wa soka. Tenga bila kuonyesha tamaa, wakati bado wadau walikuwa wanamhitaji aliamua kung'atuka mara baada ya kipindi chake cha pili cha uongozi kwisha. Michezo ya rushwa na zengwe katika kuwania uongozi wa soka ilifutika kwa sehemu kubwa sana kupitia uongozi wa Tenga.

Kwa sasa TFF tuna Karia, ambapo kipindi chake cha pili cha uongozi kilitokea kwa utata mkubwa, mara baada ya wagombea wengine wote kuenguliwa kwa zengwe kubwa mnoo na Karia kubakia yeye mwenyewe.

Sasa uchaguzi wa TFF unakwenda kufanyika tena, sarakasi zile zile za miaka minne iliyopita za uongozi wa Saria zimerejea tena, ni mwendo wa mizengwe na rushwa tupu. Ni wazi hakuna mgombea atayepitishwa kugombea zaidi ya Karia mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, Karia hana mpango wowote wa kuondoka madarakani pale TFF, iwe sasa au hapo baadaye, uongozi wake hauko tayari hata kidogo kuruhusu uchaguzi huru na haki pale TFF. Namna pekee ya huu uchaguzi kuwa huru na haki ni uongozi wote wa Saria kutemeshwa bungo na asigombee kabisa ili kupisha watu wengine wapya kugombea.
Why was Sepp Blatter suspended?

Blatter, along with former UEFA president Michel Platini, was banned from football for eight years in 2015 after being found guilty of dereliction of duty and a conflict of interest, among other charges.24 Mar 2021
1750595443153.png

Sepp Blatter handed second FIFA ban for financial wrongdoing​

mutapiga sana kelele ila hamutamuweza huyo, labda serikali impangie kituo kingine cha kazi,

maana mwenzenu hapo yupo kazini yaani kwa kifupi ana kofia mbili,

na hiyo musio iona nyinyi ndo mzizi mkuu na iliyofanya akasimikwa hapo,

nchi hii kila kitu mfumo mfumo yaani mpaka rais wa waislamu yule anaitwa mufti ni ripota wa serikali, kwa hiyo hizo kelele zenu hazitawasaidia kitu.
 
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.

Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa kisoka. Yule alikuwa mwamba haswaa. Na uongozi ule uliletwa na wapenda soka, wacheza soka wa zamani na wadau mbali mbali wa soka. Tenga bila kuonyesha tamaa, wakati bado wadau walikuwa wanamhitaji aliamua kung'atuka mara baada ya kipindi chake cha pili cha uongozi kwisha. Michezo ya rushwa na zengwe katika kuwania uongozi wa soka ilifutika kwa sehemu kubwa sana kupitia uongozi wa Tenga.

Kwa sasa TFF tuna Karia, ambapo kipindi chake cha pili cha uongozi kilitokea kwa utata mkubwa, mara baada ya wagombea wengine wote kuenguliwa kwa zengwe kubwa mnoo na Karia kubakia yeye mwenyewe.

Sasa uchaguzi wa TFF unakwenda kufanyika tena, sarakasi zile zile za miaka minne iliyopita za uongozi wa Saria zimerejea tena, ni mwendo wa mizengwe na rushwa tupu. Ni wazi hakuna mgombea atayepitishwa kugombea zaidi ya Karia mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, Karia hana mpango wowote wa kuondoka madarakani pale TFF, iwe sasa au hapo baadaye, uongozi wake hauko tayari hata kidogo kuruhusu uchaguzi huru na haki pale TFF. Namna pekee ya huu uchaguzi kuwa huru na haki ni uongozi wote wa Saria kutemeshwa bungo na asigombee kabisa ili kupisha watu wengine wapya kugombea.
Bila shaka ndiyo awamu yake ya mwisho
 
Tatizo jingine liko huko huko kwa msajili, anaona kabisa hapa katiba inawekwa kwa maslahi binafsi na yeye kwa kupewa takrima anafumbia macho.
Msajili alipitisha kifungu kinachopishana na sera ya michezo ya nchi.
Shida uwezo au ufahamu mdogo wa baadhi ya watu wanao ajiriwa serikali au rushwa na kubebana.
 
Huyu mhuni anataka kuigeuza TFF kuwa mali yake, kinyume kabisa na utaratibu uliokuwepo mwanzo! Na jambo hili halikubaliki hata kidogo.
 
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.

Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa kisoka. Yule alikuwa mwamba haswaa. Na uongozi ule uliletwa na wapenda soka, wacheza soka wa zamani na wadau mbali mbali wa soka. Tenga bila kuonyesha tamaa, wakati bado wadau walikuwa wanamhitaji aliamua kung'atuka mara baada ya kipindi chake cha pili cha uongozi kwisha. Michezo ya rushwa na zengwe katika kuwania uongozi wa soka ilifutika kwa sehemu kubwa sana kupitia uongozi wa Tenga.

Kwa sasa TFF tuna Karia, ambapo kipindi chake cha pili cha uongozi kilitokea kwa utata mkubwa, mara baada ya wagombea wengine wote kuenguliwa kwa zengwe kubwa mnoo na Karia kubakia yeye mwenyewe.

Sasa uchaguzi wa TFF unakwenda kufanyika tena, sarakasi zile zile za miaka minne iliyopita za uongozi wa Saria zimerejea tena, ni mwendo wa mizengwe na rushwa tupu. Ni wazi hakuna mgombea atayepitishwa kugombea zaidi ya Karia mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, Karia hana mpango wowote wa kuondoka madarakani pale TFF, iwe sasa au hapo baadaye, uongozi wake hauko tayari hata kidogo kuruhusu uchaguzi huru na haki pale TFF. Namna pekee ya huu uchaguzi kuwa huru na haki ni uongozi wote wa Saria kutemeshwa bungo na asigombee kabisa ili kupisha watu wengine wapya kugombea.
Hata hivyo sera ya michezo imetoa ufafanuzi na msisitizo kuhusu ukomo wa uongozi lakini TFF kwa makusudi walifanya mabadiliko ya katiba kuongeza ukomo wa uongozi kwa kukiuka sera ya mchezo, wakati huo huo balaza la michezo lilifanya uzembe kuto fuata sera ya michezo inayo elelekeza ukomo wa uongozi

Hili nilimsikiliza mmoja wa wagombea kwa ngazi ya Rais akifafanua kuhusu sera ya michezo na vifungu vya sheria vilivyo kiukwa na TFF
 
Nimeshangaa Karia anataka kuongoza tena kaifanya hiyo TFF ni mali ya familia yake aisee aondoke hapo Watanzania wengine waongoze hana jipya la kutaka kuendelea kugombea tena..
 
Utaratibu lazima ufuatwe... Rais anatumikia mihura miwili tu anapisha wengine..... Karia hana umhimu huo wakuongeza mhura mwingine.... Kama taasisi ndogo kama tff tutashindwa kuzuia uvunjifu wa katiba tutaweza kweli suala u-Rais wa nchi?.

#Karia must go
kagombea tena uko ,anatumikia mihura 3😂
 
Back
Top Bottom