Uchaguzi huu lazima aliyekalia kiti ashinde tu, tena kirahisi sanaa

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,553
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.

Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao

Uchumi wa nchi utaendelea kuwa mbovu zaidi ya jana yake.

KIKWE ndio mtu wa kulaumiwa, Huyu ndiye mtu anayeliharibu taifa lenu,, Huyu sio mtu mzuri.....
 
IMG-20250618-WA0052.jpg
IMG-20250618-WA0051.jpg
 
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.

Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao

Uchumi wa nchi utaendelea kuwa mbovu zaidi ya jana yake.

KIKWE ndio mtu wa kulaumiwa, Huyu ndiye mtu anayeliharibu taifa lenu,, Huyu sio mtu mzuri.....
1748693703031.jpg
 
Kuna katabia kamezuka ka wanufaika wa hela za tasaf kulimishwa mabarabara ya mitaani

Ccm hawana huruma kabisa na wadanganyika
 
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.

Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao

Uchumi wa nchi utaendelea kuwa mbovu zaidi ya jana yake.

KIKWE ndio mtu wa kulaumiwa, Huyu ndiye mtu anayeliharibu taifa lenu,, Huyu sio mtu mzuri.....
Kuna nyakati ngumu sana zinakuja kati ya 2025 mpaka 2030.
Na usisahau kura za kufoji zinaendelea kutengenezwa
 
hawana uhalali ndiomaana wanahangaika tu sasa kama wapinzani wa ukweli wameshawafunga wanahangaika nini tena wanatakiwa wajitangaze tu mapemaa
 
Hili la hali ya maisha kuwa ngumu halina uchama, na ndio litakuwa mwanzo wa anguko.
Hali imekuwa tete uraiani, sana!
 
Back
Top Bottom