Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.
Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao
Uchumi wa nchi utaendelea kuwa mbovu zaidi ya jana yake.
KIKWE ndio mtu wa kulaumiwa, Huyu ndiye mtu anayeliharibu taifa lenu,, Huyu sio mtu mzuri.....
Maigizo ya bongo movieSasa kama atashinda kuna haja gani ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana?
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.
Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao
Uchumi wa nchi utaendelea kuwa mbovu zaidi ya jana yake.
KIKWE ndio mtu wa kulaumiwa, Huyu ndiye mtu anayeliharibu taifa lenu,, Huyu sio mtu mzuri.....
Kuna nyakati ngumu sana zinakuja kati ya 2025 mpaka 2030.Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.