LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu hakuna asijua nini kimefanyika kwenye uchaguzi S.mtaa kwamba ulikua ni drama tu ,na kuaribu pesa za wananchi bure tu , funga hoja yako ,kwamba leo ndo unatafakari ,? Ulikuwa wapi kama sio unafiki
Nimesema tuamke sasa. Inatosha.
 
Wanasubiria mechi za Simba na Yanga tu.
Alafu baada ya mechi ni kushinda kwenye mitandao wakifuatilia habari za udaku na kina diamond na zuchu wamefanya nini🤣🤣
 
Hakika upuuzi uliofanyika umevuka viwango. Hakika sisi watanzania ni kondoo + manyumbu.
 
Back
Top Bottom