M Mushkov JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 357 Reaction score 686 Dec 12, 2024 Thread starter #21 4 7mbatizaji said: Mkuu hakuna asijua nini kimefanyika kwenye uchaguzi S.mtaa kwamba ulikua ni drama tu ,na kuaribu pesa za wananchi bure tu , funga hoja yako ,kwamba leo ndo unatafakari ,? Ulikuwa wapi kama sio unafiki Click to expand... Nimesema tuamke sasa. Inatosha.
4 7mbatizaji said: Mkuu hakuna asijua nini kimefanyika kwenye uchaguzi S.mtaa kwamba ulikua ni drama tu ,na kuaribu pesa za wananchi bure tu , funga hoja yako ,kwamba leo ndo unatafakari ,? Ulikuwa wapi kama sio unafiki Click to expand... Nimesema tuamke sasa. Inatosha.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Dec 12, 2024 #22 Wapuuzi sana
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Dec 12, 2024 #23 Yoda said: Wanasubiria mechi za Simba na Yanga tu. Click to expand... Alafu baada ya mechi ni kushinda kwenye mitandao wakifuatilia habari za udaku na kina diamond na zuchu wamefanya nini🤣🤣
Yoda said: Wanasubiria mechi za Simba na Yanga tu. Click to expand... Alafu baada ya mechi ni kushinda kwenye mitandao wakifuatilia habari za udaku na kina diamond na zuchu wamefanya nini🤣🤣
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Dec 12, 2024 #24 Hakika upuuzi uliofanyika umevuka viwango. Hakika sisi watanzania ni kondoo + manyumbu.