The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Una chuki binafsi na Mkapa, JK? Kama ni hapana, kipi huelewi kuhusu aliloongea Mkapa? Au wewe una uvivu wa kufikiri?
MBUMBUMBU MKUBWA WE.

Mi kuna thread moja nimesoma jana usiku km saa sita hiv inasema mwita 25 kapigwa ban na moods, ss inakuaje tena?

Kaka haya maneno yako yana walakini mkubwa sana, kwa anayeelewa kusoma kwa maarifa hawezi kukuamini hata punje. Kwanza Intnal banks zipo nyingi sana; Kosa la kwanza hukusema hiyo bank kwa kuwa unaogopa hapa JF tuna wana benki hizo wengi sana, ; Pili hizo 3 billion ni utashi wa mtu kuzitoa ama kuziingiza na napenda kukuweka wazi wamba katapila la ujenzi linanunuliwa kwa zaidi ya milioni 800 ambapo kwa makandarasi wakubwa hiyo billion 3 ni pea nut tu, ; Tatu mkuu, umesema una ushahidi na kwa nini sasa huumwagi kwa kuwa hakuna anayekujua humu kwa kuwa wewe mwenyewe hujiamini, na mwisho; siku ingine usijaze JF kwa propoganda za kipuuzi mjinga wewe...
yeah mpe livu

mwandosya jr. Na wewe unapata nini kusambaza upupu wa propaganda dhidi ya wapinzani ndani na nje ya chama katika sura ya uenezi?
Ni afadhari ungesema mtu aliyekuwa anamfuati mbunge ndo arithi. Lakini hapo napo tutatengeza vita ya maisha kwa wagombeaji kwani atakuwa anasubiria/akiombea lolote litokee ili naye aende mjengoni. Bado huu utaratibu wa sasa siyo mbaya sema tu kwamba taratibu zilizopo zitumike vizuri au ziboroshwe kama swala la gharama na rushwa kwenye uchaguzikila unapotokea uchaguzi mdogo najikuta namkumbuka Halima Mdee
yeye peke yake alizungumza kitu cha maana kuhusu hizi chaguzi ndogo...
alisema chaguzi ndogo zinapoteza muda na pesa nyingi
ni bora ukawekwa utaratibu wa chama kinachoshikilia jimbo hilo
kuchagua ni nani arithi jimbo......
hakuna anaesikiliza haya,but huu ndo ukweli mtupu....
hizi chaguzi ndogo its a waste of time and money.....
zipigwe marufuku......

Wapi ms,mwita 25,faiza foxy,ritz,achebe,john marwa,rejao.Tunataka mjadili mada mbona mmekimbia thread?
nachotaka kusema mimi ni ccm wasiendelee kujidanganya waTZ matatizo tunayopata kutoka CCM na serikali yake yanfanana kwa sehemu zote za nchi hii, ni ufisadi uliozidi kiwango.
kwa hiyo kama Shinyanga au mwanza na mpanda hawaitaki CCM kwa nini Igunga waikumbatie wakata matatizo yao yanafanana?

Hii si sawa hata kidogo

Mfumo wa utawala wa serikali ya Uingereza tofauti kabisa na Tanzania. Wao wana utawala wa Kifalme na anayeunda serikali ni Waziri Mkuu na hawana rais kama Tanzania. Ndio maana Prince Charles alipotembelea Canada hivi karibuni alikumbana na waandamanaji waliona na mabango kwamba utawala wa UK si wa kidemokrasia kwa ushikilia mfumo wa kuridhi wa kifalme.

Tumechukulia mfumo wa serikali ya Marekani ambayo mfumo wa utawala unafana kabisa na wetu, na hivyo mengi tunaweza kujifunza toka kwao kutokana na uzoefu wao wa kidemokrasia tangu mwaka 1776 hivi kama sikosei walipopiga vita kujiondoa toka ukoloni wa Mwingereza na kuachana na mfumo kandamizi wa kifalme wa UK.