Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Una chuki binafsi na Mkapa, JK? Kama ni hapana, kipi huelewi kuhusu aliloongea Mkapa? Au wewe una uvivu wa kufikiri?
MBUMBUMBU MKUBWA WE.

Nimeamini kuwa kichaa huwa hajijui kuwa ni kichaa!!! Nyinyi watoto wa mafisadi mna matatizo. Hivi hayo maendeleo ya familia zenu mnataka wote tukubali kuwa tumeendelea? Shame on you!!!!

Mi kuna thread moja nimesoma jana usiku km saa sita hiv inasema mwita 25 kapigwa ban na moods, ss inakuaje tena?

Kutakuwa na Ban nyingi hapa JF baada ya Matokeo ya Igunga! Na Chama cha demokrasia ya Maandamano watakuwa wakali sana hapa JF,wataitisha maandamano hapa JF baada ya kushindwa Igunga!

Kaka haya maneno yako yana walakini mkubwa sana, kwa anayeelewa kusoma kwa maarifa hawezi kukuamini hata punje. Kwanza Intnal banks zipo nyingi sana; Kosa la kwanza hukusema hiyo bank kwa kuwa unaogopa hapa JF tuna wana benki hizo wengi sana, ; Pili hizo 3 billion ni utashi wa mtu kuzitoa ama kuziingiza na napenda kukuweka wazi wamba katapila la ujenzi linanunuliwa kwa zaidi ya milioni 800 ambapo kwa makandarasi wakubwa hiyo billion 3 ni pea nut tu, ; Tatu mkuu, umesema una ushahidi na kwa nini sasa huumwagi kwa kuwa hakuna anayekujua humu kwa kuwa wewe mwenyewe hujiamini, na mwisho; siku ingine usijaze JF kwa propoganda za kipuuzi mjinga wewe...

Kaka/dada umetumwa? Tatizo siyo bilion 3 kutolewa bali ni kutolewa bila supporting docs. Sasa sijui ujinga wa huyu mtoa mada uko wapi? Labda tunahitaji uthibitisho tu wa madai yake na si kumbeza na kumtukana.

Naamini kama tungetawaliwa muda mrefu zaidi tungeendelea kuliko sasa hivi. Mkoloni alikuwa na strategy nzuri kuliko hao TANU na CCM. Afadhali mkoloni alijenga hata reli ya kati, n.k. Hawa CCM wanairudisha Tanzania RIVASI kimaendeleo, wanahamisha mbele kwa mbele kupeleka pes nje ya nchi. SHAME ON CCM!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah maneno yenyewe hayapo poor poor poor poor poor poor poor poor English huna sera nakushanga unaitwa MWITA jina la kiume alafu mambo ya kikuda hahaaahaahaaa

Matatizo yanayowakabili waTZ ni pamoja na mfumuko wa bei, angegusia hili ili wana Igunga wajue kwa nini wana maisha ya shida

i think its better if you prove the lie by providing some criteria rather than simply dissing!

Endapo watamchagua kama alivyofanya mkewe,
Inamaana itakuwa wana IGUNGA=MRS KAFUMU!!!!!!!!!!!!!!

kila unapotokea uchaguzi mdogo najikuta namkumbuka Halima Mdee

yeye peke yake alizungumza kitu cha maana kuhusu hizi chaguzi ndogo...

alisema chaguzi ndogo zinapoteza muda na pesa nyingi

ni bora ukawekwa utaratibu wa chama kinachoshikilia jimbo hilo
kuchagua ni nani arithi jimbo......

hakuna anaesikiliza haya,but huu ndo ukweli mtupu....

hizi chaguzi ndogo its a waste of time and money.....

zipigwe marufuku......
Ni afadhari ungesema mtu aliyekuwa anamfuati mbunge ndo arithi. Lakini hapo napo tutatengeza vita ya maisha kwa wagombeaji kwani atakuwa anasubiria/akiombea lolote litokee ili naye aende mjengoni. Bado huu utaratibu wa sasa siyo mbaya sema tu kwamba taratibu zilizopo zitumike vizuri au ziboroshwe kama swala la gharama na rushwa kwenye uchaguzi

nachotaka kusema mimi ni ccm wasiendelee kujidanganya waTZ matatizo tunayopata kutoka CCM na serikali yake yanfanana kwa sehemu zote za nchi hii, ni ufisadi uliozidi kiwango.

kwa hiyo kama Shinyanga au mwanza na mpanda hawaitaki CCM kwa nini Igunga waikumbatie wakata matatizo yao yanafanana?

Skewed opinon polls. Hivi kweli mtu anaweza kukaa Dar es Salaam aka-dictate utashi wa wapiga kura wa Igunga. Ifike wakati watu waache kujidanganya. What if Gazeti la Mzalendo nalo lingetoa kwamba CCM watashinda ingeleta tofauti gani?

hahahahaa.......the boooooooss.....

dah.achaguliwe mrithi?!!!

wacha tupige kampeni ili tujue huko mbele tuko vipi katika kuchukua nchi.

Hii si sawa hata kidogo

Jamani naomba kuelimishwa juu ya hii hali ~ Hivi watu wanapo pewa chakula kuna tofauti gani na kupewa fedha? mi kwa mtazamo wangu hii ni pure RUSHWAAAAAA!!!

Katika kipindi cha siasa zilivyo sasa hivi, kiongozi yeyote lazima achangue vizuri maneno ya kuongea lasivyo italeta mtafaruko.

Mfumo wa utawala wa serikali ya Uingereza tofauti kabisa na Tanzania. Wao wana utawala wa Kifalme na anayeunda serikali ni Waziri Mkuu na hawana rais kama Tanzania. Ndio maana Prince Charles alipotembelea Canada hivi karibuni alikumbana na waandamanaji waliona na mabango kwamba utawala wa UK si wa kidemokrasia kwa ushikilia mfumo wa kuridhi wa kifalme.

Tumechukulia mfumo wa serikali ya Marekani ambayo mfumo wa utawala unafana kabisa na wetu, na hivyo mengi tunaweza kujifunza toka kwao kutokana na uzoefu wao wa kidemokrasia tangu mwaka 1776 hivi kama sikosei walipopiga vita kujiondoa toka ukoloni wa Mwingereza na kuachana na mfumo kandamizi wa kifalme wa UK.

mkuu kama mfumo wetu ni kama wa us, ambao ni mzuri ukiulinganisha na wa uk, vp demokrasia ya TZ ukilinganisha na ya UK?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom