Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
tehe gamba litavuka tu mwaka huu! chadema hoyeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Jamani nisaidieni kuelewa hapa.Ina maana baada ya kutano jana watu walikula mawali haya au kuna kitu nina miss hapa ?
kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
kaka hapo sikubaliani nawe maana wanajimbo wanavyoamua kuchagua Mbunge huwa wanachagua individual qualities pamoja na sera za chama na kwa mantiki ya kusema kurithisha basi ina maana itabidi kuwe na mgombea ubunge mwenza ili dhana nzima ya demokrasia itimie ambapo gharama zake ni zaidi ya chaguzi ndogo! na hata kama kusema mshindi wa pili arithi nadhani hamna chama kitakubali hilo! yaani tuseme kama RA alivyojiondoa jamaa wa CUF (1st runner off) achukue kiti! Ukizingatia siasa hubadilika kwa nyakati na muda husika huyu 1st runner off anaweza hata asipate zile kura za October 2010! BTW chaguzi ndogo si gharama kama viwango vya fedha vilivyoweka na tume ya uchaguzi vinazingatiwa! Ila nathani unafahamu ni nani mjuzi wa kuvunja sheria za uchaguzi kwa kupitia uwezo wake kifedha..kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
Mh! ndiyo maana mie naipenda CCM!

sio pumba....hata huko marekani hawarudii rudii chaguzi kwa staili yetu....

ni bora chama kinachoshika jimbo kifanye chaguzi ya ndani....au tuje na sysytem nyingine itakayokubalika.....

kuna system nyingi tu.....
naamini kama tungetawaliwa muda mrefu zaidi tungeendelea kuliko sasa hivi. Mkoloni alikuwa na strategy nzuri kuliko hao tanu na ccm. Afadhali mkoloni alijenga hata reli ya kati, n.k. Hawa ccm wanairudisha tanzania rivasi kimaendeleo, wanahamisha mbele kwa mbele kupeleka pes nje ya nchi. Shame on ccm!
kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?