Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Inakatisha tamaa lakini I don't care kama bado kuna mbumbumbu ktk Tanzania au la ila najua kitu kimoja tu kwamba ukishaerevuka ni sawa na ku hitimu ujinga na kamwe huwezi rudi darasa la chekechea la ujinga. Katika Igunga sishangai kuna idadi kubwa ya watu ambao wako kwenye madarasa ya ujinga na itawachukua muda si mrefu kuhitimu na kuerevuka kujua CCM ni walaghai. Tusiwahukumu ila tusonge mbele na kuwaelemisha wengine na ni imani yangu kuwa mwisho wa siku watatuelewa na naomba isiwe too late kwao wakajilaumu na kugundua kwamba NO PERSON IN CCM mwenye uchungu nao zaidi ya kutaka kuongeza volume za vitambi in their expenses. CDM tusiangalie miwali na miguo ya kijani bali tutumie uzoefu wetu kupambana mpaka kieleweke. Kumbuka waliohudhuria hapa walitaka tu kumwona Mkapa no more

Hivi kukua kwa mwanao ni maendeleo.elimu hana afya mbovu,analalia ngozi ndani ya tembe leo unaandaa sherehe za hepybithday ya miaka hamsini?

Tatizo la chama cha magamba wanashindwa kuweka wazi walichokifanya kwani hakipo. Nchi ni sawa na any other living organism ambayo hukua hupende usipende. Hii natural process huwa more impressive if there is human effort Hii effotndio chama cha magamba wameshindwa kuonyesha kwa miaka yote 50. Ndio kusema kwamba tangu tanzania ipate uhuru imekuwa ikikua naturally ndio maana ina marasmus na kwashakor. ie.migao ya kijinga ya umeme ,maji, sukari, elimu duni, huduma zza afya za babu wa Loliondo, nk. Kwanza hakuna anayesema tangu uhuru magamba hawajafanya chochote. Mbona wamefanya vingi - mifano iko mingi: kuota magamba, ufisadi, wizi wa twiga kuuza Arabuni, kugawa pesa bungeni (jairo), kujichotea rasilimali za uma hasa migodi, kuhongwa suti, nk.

Yap, yamewakuta. Wengi wa wananchi waliokwenda kwenye mkutano wa ufunguzi Chicm Igungwa walikusanywa. Vijana walikusanywa kutoka vijiji mbalimbali wakapewa uniform labda na posho. Ndo waliojaza mkutano.

Mbaya zaidi, wananchi wakaanza kuondoka. Sababu za kuondoka ni kuwa ccm haina jipya, Hao wananchi waliohojiwa na gazeti la mwananchi walisema ndio serikali inakusanya hela, mbona hakuna maendeleo??

Source: Mwananchi Paper,

CCM inakusanya watu kwa hela, wasanii, nguo, na vyakula. Sasa wananchi tumeamka hatutaki kudanganywa tunataka hoja za nguvu za maendeleo. Lakini ccm hatuwataki tena. Maendeleo wameleta mengi sana ila ya kuturudisha nyuma yaani tumeendelea kurudi nyuma BORA MUINGEREZA KULIKO CCM....

..........................ha ha ha ha ha ha ha,leo nimecheka mpaka nataka kupasuka mbavu.Lol!! huu ndio ustaarabu wa wana CCM,wanatufanya kuwa maskini,and then wanatuletea ubwabwa utadhani si haki yetu......wana Igunga hili ni tusi kwenu,sasa tunasubiri tuone kama mnakubaliana na tusi hili au vinginevyo.

Hivi kukua kwa mwanao ni maendeleo.elimu hana afya mbovu,analalia ngozi ndani ya tembe leo unaandaa sherehe za hepybithday ya miaka hamsini?

Tatizo la chama cha magamba wanashindwa kuweka wazi walichokifanya kwani hakipo. Nchi ni sawa na any other living organism ambayo hukua hupende usipende. Hii natural process huwa more impressive if there is human effort Hii effotndio chama cha magamba wameshindwa kuonyesha kwa miaka yote 50. Ndio kusema kwamba tangu tanzania ipate uhuru imekuwa ikikua naturally ndio maana ina marasmus na kwashakor. ie.migao ya kijinga ya umeme ,maji, sukari, elimu duni, huduma zza afya za babu wa Loliondo, nk. Kwanza hakuna anayesema tangu uhuru magamba hawajafanya chochote. Mbona wamefanya vingi - mifano iko mingi: kuota magamba, ufisadi, wizi wa twiga kuuza Arabuni, kugawa pesa bungeni (jairo), kujichotea rasilimali za uma hasa migodi, kuhongwa suti, nk.

Duuuh tuna kazi kubwa!! Jamaa anayesimamia mwenye fulani nyekundu naona yeye tayari kashiba!!

huyo ndo mwenye tenda. yaani masufuria na mavyungu yaliyotumika kupikia ni yake. hao ndo chichiemu ukiona wengine fotokopi.

1.jpgkama mara tatu yenyewe kwa dizaini hii imekula kwenu

watu waliofika katika mkutano wa CCM ni mara tatu ya CDM na picha walizotuletea katika magazeti ya bongo za chadema walichakachua, Waliweka picha za Arusha badala ya Igunga. igunga hakuna magorofa lakini picha za cdm zilikuwa na magorofa.

MIMI BINAFSI NAAMINI MWANACHAMA YEYOTE WA CC* AMEFUATA HELA TU NA SIO MASLAHI YA TAIFA. Wengi huvutwa na pesa, chakula, n.k

kufuatia kumwagiwa kwa tindikali kijana mussa tesha wa mjini igunga aliyekuwa anabandika picha za mgombea wa ccm Dalali kafumu police imeanzd kuwatia mbaroni vijana wanaotuhumiwa kufanya tukio hilo ambapo leo wamekamatwa vijana watano ambao inadaiwa ni wafuasi wa chadema, ambapo uchungunzi utakapokamilika wataflkishwa mahakamani.

Hafai kuwa mbunge kama anashindwa kujinadi yeye atawezaje kuwatetea wanaigunga bungeni?

Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini si kama Kipofu. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba CCM si mama yake wala si dini yake. Hata mimi CHADEMA si mama yangu wala si dini yangu lakini ni chama ninachokiunga mkono toka moyoni mwangu.

Kuna tatizo naliona miongoni mwa "vijana" wa siasa kuamini kwamba CCM haiungwi mkono kabisa kabisa na watanzania, jambo ambalo si la kweli. Hittler na siasa zake za Kinazi huko Ujerumani aliteketezwa, lakini leo hii zaidi ya miaka hamsini tangu kuvunjiliwa mbali kwa utawala wa Kinazi bado wapo watu tena wengine ni vijana kabisa ambao wanaamini kwenye misingi ya Kinazi yaani ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa asili ya mtu.

CHADEMA sasa ndicho chama kinachokua na kuimarika kila siku. Lakini kukua na kuimarika huko hakumaanishi kwamba ndiyo CCM imekufa kabisa na hakuna Watz wanaoiunga mkono CCM. KANU,UNIP kutaja vichache si vyama tawala tena kwneye nchi zao lakini huwezi kusema kwamba vyama hivi vimekufa au hakuna watu wanaoviunga mkono.

Hoja hii naitoa kuwatahadharisha CHADEMA wenzangu kwamba ndani ya siasa kuna walevi wa ushabiki ambao kwa kawaida wao huwa hawamo uwanjani,lakini wanapiga sana kelele. Kwa kuanzia na Igunga ni lazima tupambane na CCM kama chama "imara" na wala si kama chama "mfu" kama baadhi ya washabiki wetu wanavyotaka tuamini.

Igunga na kwenye kata 22 tunazogombea kuna kazi za kufanya na ni lazima tuifanye.Play your Part!!.

Kukasirika na kubwatuka hakutakusaidia ndugu yangu. Its Just a Joke my friend!!

Magamba hapo mmechemsha jamani yaani mnawadanganya watu kwa mpunga Kama kuku!!!!? hii imekaa vibaya

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom