MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,308
Inakatisha tamaa lakini I don't care kama bado kuna mbumbumbu ktk Tanzania au la ila najua kitu kimoja tu kwamba ukishaerevuka ni sawa na ku hitimu ujinga na kamwe huwezi rudi darasa la chekechea la ujinga. Katika Igunga sishangai kuna idadi kubwa ya watu ambao wako kwenye madarasa ya ujinga na itawachukua muda si mrefu kuhitimu na kuerevuka kujua CCM ni walaghai. Tusiwahukumu ila tusonge mbele na kuwaelemisha wengine na ni imani yangu kuwa mwisho wa siku watatuelewa na naomba isiwe too late kwao wakajilaumu na kugundua kwamba NO PERSON IN CCM mwenye uchungu nao zaidi ya kutaka kuongeza volume za vitambi in their expenses. CDM tusiangalie miwali na miguo ya kijani bali tutumie uzoefu wetu kupambana mpaka kieleweke. Kumbuka waliohudhuria hapa walitaka tu kumwona Mkapa no more
