Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Ehe baada yakupepea ikawa je mbona umeishia nusu?

yaani hakuna ubishi, nyomi linatisha ni zaidi ya mara 5 ya lile la chadema, yaani mpaka hapa ccm imeshashinda; cdm na cuf ni wasindikizaji tu ktk mtinange huu!

ccm imeshinda kwa kuwadanganya watu na mpunga Kama kuku!!?,au na wewe ni mmojawapo!?.

Eleweni content na context acheni kukuza mambo msioyaelewa kama watoto wa shule ya msingi jamani!

Ndo maana wanamwita rais wa mambo ya nje au ulikua hujajua source ya hilo jina

Mkuu The Boss...umenena sahihi kabisa...ni vyema chama kishikiliacho jimbo husika kikachagua mrithi wake kama itatokea nafasi ikiwa wazi...uchaguzi mkuu uwe kila baada ya miaka mitano na chaguzi ndogo ziwe ndani ya chama husika.
Siamini kama fedha zinazotumika igunga kwenye uchaguzi huu zinaweza na maendeleo yatakayoletwa na mshindi wa uchaguzi hata akipewa miaka kumi.

ccm imeshinda kwa kuwadanganya watu na mpunga Kama kuku!!?,au na wewe ni mmojawapo!?.
hata kwa kuangalia kwa macho tu! linganisha umati uliyojitokeza ciku ya cdm wakati wanazindua na ule wa ccm wakati wanazindua kampeni zao igunga! ccm imefungasha na ndio maana nadiriki kusema kuwa ccm itashina! cdm na cuf ni wasindikizaji tu!

Mkuu umesahu kuwa na rais asiyejua kwanini nchi ni masikini na kutowajua wawekezaji wa dowans pia kua bubu kwenye kukemea mambo yanayoididimiza nchi yetu

Hapa na mkumbuaka Prof wa CHADEMA aliyesema kuwa wale maadui watatu UJINGA, MARADHI na UMASKINI sasa wamegeuka kuwa marafiki wa CCM na hivyo kwa kuwapa chakula na mavazi bila shaka usemi wa Prof wetu wa ukweli umetimia.

Ya kwangu ukiona umedanganyika au upo ndani ya CCM nadhani utakuwa upo kwasasababu ya maadui watatu.

hata kwa kuangalia kwa macho tu! linganisha umati uliyojitokeza ciku ya cdm wakati wanazindua na ule wa ccm wakati wanazindua kampeni zao igunga! ccm imefungasha na ndio maana nadiriki kusema kuwa ccm itashina! cdm na cuf ni wasindikizaji tu!

Wewe umedanganywa na ubwabwa ila wanaigunga hawadanganyiki na mlo wa siku moja na octoba 2 watakudhihirishia

mimi nimekuelewa lakini c vyema chama kilichoshinda kikichagua awali then kichague mtu mwingine kwani mtu huyo hatakuwa chaguo la wananchi; labda achukuliwe aliyeshika nafasi ya pili wakati wa uchguzi mkuu, mfano kama mh. halima mdee atashindwa kwenye kesi iliyofunguliwa na mbatia dhidi yake, basi badala ya kurudia uchaguzi, tume ya uchaguzi imtangaze aliyemfuatia mdee kwenye uchaguzi mkuu kuwa mbunge wa jimbo la kawe!

Huyo Halima Mdee mwenyewe ana jinsia gani, KE au ME. Kama KE mbona sijawahi kumuona na mpenzi hata siku moja na kama ME mbona hataki kuoa? Nikijibiwa ndiyo nitatoa mchango wangu.
sorry hakuna wa kukujuza hilo hapa, kwani hapa hatujadili jinsia za watu bali tunajadili chaguzi ndogo hasara na faida zake! pili hatuna haki kisheria ya ku-access taarifa za mtu binafsi na kuzijadili hadharani bila ya ridhaa ya mhusika mwenywe, kwani kufanya hivyo ni kosa la jinai:

Boss ni kweli unajua taifa letu liko kisiasa zaidi .

• Kiasi kiubwa sana cha pesa kinapotezwa kwenye mambo ya kisiasa kisingizo ni demokrasia.
• Ulizia au hata tafuta hata bajeti ya TAKUKURU na vyombo vya usalama Igunga au Tabora. Ni mwezi huu ndio watapewa bajeti kubwa . Kwa nini? sabbau priority zetu ni siasa. Uchaguzi wa kisasa ukiisha business as usual.
May be ndio maana Tanzana iko stable politically lakini financialy. electricitically, sportscally ,etc tuko hoi

teh teh teh Mtanisamehe kwa kukanumbalise kingereza

HIVI mkapa anasema ati hajahutubia mkuatano mkubwa kama ule zaidi ya miaka 6 hivi ina maana Mkuatano wa kufunga kampeni mwaka jana 2010 pale JANGWANI ulikuwa na watu wachache kuliko ule wa IGUNGA jana ? mtakumbuaka Mkapa alihutubia kwa kuwaita wapinzani kokoto sasa kasahau. BILA SHAKA MZEE KAANZA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

Hapo kwenye green maoni ya gazeti la Rai, hiyo calculation sijaielewa kati ya UDP na SAU ni nani alitakiwa awe na 0% au 1% kwa kufuata wingi wa kura. Naona percentages zimechakachuliwa.

hata kwa kuangalia kwa macho tu! linganisha umati uliyojitokeza ciku ya cdm wakati wanazindua na ule wa ccm wakati wanazindua kampeni zao igunga! ccm imefungasha na ndio maana nadiriki kusema kuwa ccm itashina! cdm na cuf ni wasindikizaji tu!

kwa kuwa wapiga kura wa igunga ni wa mikoa jirani na tabora kama mlivyowachukua waje kwenye ufunguzi, basi mtashinda.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…