Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
<br /><b>Maandalizi ya uzinduzi</b><br />
Kuanzia juzi CCM imekuwa ikihamasisha wafuasi wake waweze kufika kwenye ufunguzi wa kampeni zao, huku magari ya chama hicho yakionekana kupita kona mbalimbali za Igunga.<br />
Jana kuanzia asubuhi mashangingi ya viongozi wa ngazi za juu ya CCM yalionekana yakipita sehemu mbalimbali katika mji wa Igunga na baadhi ya wananchi wakiwa kuvaa nguo za rangi za kijani na njano. Bendera za CCM zilikuwa zinapepea kila kona ya mji wa Igunga.
<br />
Ehe baada yakupepea ikawa je mbona umeishia nusu?