[HTML][HTML] [IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] By [B]King'asti[/B] [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171593-halima-mdee-na-uchaguzi-wa-igunga.html#post2480953"][IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png[/IMG][/URL]
the boss, sounds sensible lakini inategemea na sababu ya uchaguzi mdogo. endapo ni kifo inawezekana kumpa 2nd runnerup wa uteuzi chamani.lakini kama ni issues ambazo zilisababisha wapiga kura kukosa imani na chama, ama mfumo mzima wa uchaguzi inaweza kutokuwa sawa sana kukwepa uchaguzi. kumbuka kuwa sio wanachama wenzie mbunge pekee wanaompigia kura, bali wanajimbo wote bila kujali sana itikadi zao za kisiasa wanaweza kumchagua mbunge kwa sababu wanaona anaweza kuwaongoza na kutatua matatizo yao sugu.
well hapo unaongea kitu cha maana.....
tunaweza kutenganisha sababu..
mfano kama ni kifo basi apewe second runner up...
au ya chama kilichoshinda kwa asilimia labda sabini..wafanye uchaguzi wa chama
na atakeshinda
au vyovyote vile but sio hivi sasa.[QUOTE][/QUOTE]
mbona hueleweki kabisa yani apewe second runner up, sasa kwa nini hasipewe aliyekuwa first runner up?? hata huko Marekani hapewi second runner up! Lakini pia tunapoiga tunaangalia mambo mengi na si kila kinachofanywa na marekani na sisi tukiige. gharama ya uchaguzi ni ndogo sana ukilinganisha na gharama ya demokrasia inayolindwa hapo. hapo vinavyokuza gharama ni vyama vya siasa vyenyewe na serikali haipati hasara kubwa sana labda ikichakachuliwa na chama tawala, ingawa wao wamezoea kuchakachua hatazisingeenda huko zingeenda kwao tu.[QUOTE][/QUOTE]