Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Utaratiibu wa kurithi jimbo ???
mimi siwezi kubishana na mtu anayefikiri kwa kutumia ''masburi'' tusubiri hiyo octoba 2; ndio utajua kuwa peple's ni ccm.Wewe umedanganywa na ubwabwa ila wanaigunga hawadanganyiki na mlo wa siku moja na octoba 2 watakudhihirishia
mimi siwezi kubishana na mtu anayefikiri kwa kutumia ''masburi'' tusubiri hiyo octoba 2; ndio utajua kuwa peple's ni ccmkwa kuwa wapiga kura wa igunga ni wa mikoa jirani na tabora kama mlivyowachukua waje kwenye ufunguzi, basi mtashinda.
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
kila unapotokea uchaguzi mdogo najikuta namkumbuka Halima Mdee
yeye peke yake alizungumza kitu cha maana kuhusu hizi chaguzi ndogo...
alisema chaguzi ndogo zinapoteza muda na pesa nyingi
ni bora ukawekwa utaratibu wa chama kinachoshikilia jimbo hilo
kuchagua ni nani arithi jimbo......
hakuna anaesikiliza haya,but huu ndo ukweli mtupu....
hizi chaguzi ndogo its a waste of time and money.....
zipigwe marufuku......
<br />Huyo Halima Mdee mwenyewe ana jinsia gani, KE au ME. Kama KE mbona sijawahi kumuona na mpenzi hata siku moja na kama ME mbona hataki kuoa? Nikijibiwa ndiyo nitatoa mchango wangu.
HTML:[HTML][HTML] [IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] By [B]King'asti[/B] [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171593-halima-mdee-na-uchaguzi-wa-igunga.html#post2480953"][IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png[/IMG][/URL] the boss, sounds sensible lakini inategemea na sababu ya uchaguzi mdogo. endapo ni kifo inawezekana kumpa 2nd runnerup wa uteuzi chamani.lakini kama ni issues ambazo zilisababisha wapiga kura kukosa imani na chama, ama mfumo mzima wa uchaguzi inaweza kutokuwa sawa sana kukwepa uchaguzi. kumbuka kuwa sio wanachama wenzie mbunge pekee wanaompigia kura, bali wanajimbo wote bila kujali sana itikadi zao za kisiasa wanaweza kumchagua mbunge kwa sababu wanaona anaweza kuwaongoza na kutatua matatizo yao sugu. well hapo unaongea kitu cha maana..... tunaweza kutenganisha sababu.. mfano kama ni kifo basi apewe second runner up... au ya chama kilichoshinda kwa asilimia labda sabini..wafanye uchaguzi wa chama na atakeshinda au vyovyote vile but sio hivi sasa.[QUOTE][/QUOTE] mbona hueleweki kabisa yani apewe second runner up, sasa kwa nini hasipewe aliyekuwa first runner up?? hata huko Marekani hapewi second runner up! Lakini pia tunapoiga tunaangalia mambo mengi na si kila kinachofanywa na marekani na sisi tukiige. gharama ya uchaguzi ni ndogo sana ukilinganisha na gharama ya demokrasia inayolindwa hapo. hapo vinavyokuza gharama ni vyama vya siasa vyenyewe na serikali haipati hasara kubwa sana labda ikichakachuliwa na chama tawala, ingawa wao wamezoea kuchakachua hatazisingeenda huko zingeenda kwao tu.[QUOTE][/QUOTE]