Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Hizi ndizo siasa uchwara za kina Nape alizosema Rostam, ndio maana wazee wa CCM walimzuia Nape kwenda Igunga walijua atakwenda kuvuruga kampeni ona sasa yeye na mwigulu walivyofanya walifikiri tukio hili litavuta sympathy kwa CCM badala yeke wanajutia kitendo chao wananchi wa Igunga si wajinga wameshajua nani ka injinia mbinu hii wameapa kulipiza kwenye sanduku la kura.
 
ili tumbaini aliyehusika, lazima tuzingatie ushahidi wa kimazingira.

(i) huyo aliyemwagiwa tindikali alimwagiwa saa ngapi?

2. Alikuwa anafanya nini wakati huo?

3. Kwa nini alifanya shughuli hiyo wkt huo?

Maswali haya yakijibiwa, yatatupa baadhi ya majibu ambayo hayajibiwa
 

Katika busara na uzoefu ulionao unaweza kutusaidia wasomaji namna huo uchunguzi huru unavyofanyika Tanzania?
 
je umewauliza polisi wamefikia wapi katika uchunguzi wao? ama uko kazini kutetea sh.55,000.00?
Labda tutapata naalie mmwangia tindikali Kubenea maana hawajamaani ndiyo tabia zao kama siyo kukuwekea sumu kwenye mic basi utakufa kwa ajari au wata wakondisha Al shabaab ila kwasasa wamekuja na hii mpya ya kumwangia tindikali
 
Jamani tusiwe na mahaba mpaka ya kupitiliza na kupunguza kwa mkeo!
Mwigulu kataja chadema wamehusika je alikuwa na ushahidi wa kutosha?
Ya msemakweli na kagoda si ndo kama haya!
Hebu tufikiri maisha ya kijana yatakuwaje!
dah so sad....
 
Mwisho wa ubaya ni aibu, CCM mumeua watu wengi sana kwa uroho wenu wa madaraka, sasa 40 yenu imefika.
 
I have an upmost honour and huge respect of Regia Mtema but this uncorroborative story of yours has completely changed my perception on you. I did not expect that you would be whiddled into foul politicking and spread of calumnies given the fact that you sneaked into the parliament through special seats! Your malevolence will not gain you any lucre more than seeing your reputation waned before the eyes of hoi polloi.
 

hiv we marcopolo, mbona maandishi yako hayaendani na sign yako?
 
Hivi Mwita25 leo yuko wapi? kweli CCM imebakia majengo tu yaani kwishnei. maana hata anti Ritz hajajitokeza hapa, chupi imewabana.
 
 

kwan kasemaje? Mbona hajasema chochote? C katoa picha za kituo cha tv tu?
 
Ingia kwa ile ID yako halisi ya Mwita25, kwa nini unaogopa unaingia kivingine? kwisha habari yenu na sasa subilini hukumu kutoka kwa wananchi wa Igunga, halafu naomba nikushauri hii fake English yako peleka kwa washamba wenzako kama wewe na sio hapa JF.
 
Nduguyangu Nape unakazi kweli ,Watanzania wa sasa si wale wazamani
 
Napita tu!
Sasa wewe Napeee, siasa chafu za kufanyia jaribio la tindikali kwenye mwili wa huyu kijana masikini mwenzetu wa Igunga mbona hata baba yako Mzee wako Moses Nauye angekwepo asingekuunga mkono katika 'huu UZABIZABINA' (Rweyemamu wa Ikulu et al, 2011)
 
ni wilaya ya masasi, maana ccm wao style yao sehemu ambazo ziko nyuma kimaendeleo ndio huwa wanapelekwa watu wajinga ili kudumaza maendeleo.

nakushukuru ndugu, kwa sasa kapelekwa nani au nape bado ana ajila mbili?
 
If multitude gatherings is a sign and and guarantee for victory, then Chadema would have been lucky. But this is not the case since voters are looking for sound policies and substantial manifesto, both of which features CCM has. So hoping that Chadema will snatch a victory from Igunga bi-election is nothing but a chimera.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…