Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Hii kweli ni propaganda ya kike kutoka Chadema! Huyu Regia ameshafundishwa ujinga kama huu?

mambo hayo ya kumwagiana tindikali mnayoleta cdm wafanyieni hao hao ccm mkijaribu kwa cuf mtajuta kuzaliwa.

Ze marcopolo, you should know that investigation normally start from the source. What Regia did was just to inform the society of what has happened. And her information can be part of that source of information. So you don't need to blame the source of information. Mchemba's comment can also be the part of the source of information. Hebu jaribu kidogo kufungua ubongo, utajua kuwa taarifa ya Regia inaweza kuwa pa kuanzia uchunguzi.

Akiongea Leo na waandishi wa habari kwa mujibu wa chanel ten Naibu katibu mkuu julius mtatiro amesema mapokezi yataanzia mchana na yatazunguuka mji wa igunga kabla ya kuelekea katika uwanja na hapo Mwenyekiti wa Taifa Prof Ibrahim Lipumba atahutubia na kuzindua ILANI ya mgombea wa cuf Leopald mahona, watu wameanza kumiminika kutoka vijijini kwa ajili ya mapokezi ya mwenyekiti wa taifa Prof Lipumba.

siku zile amri ilitoka kwa serikali ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote. Watu wote wakaenda kuandikwa. Cdm nao wakaondoka dar wakapanda kwenda tabora hadi jimbo liitwalo igunga kwa kuwa kulikuwa na ombwe la uongozi, ili walizibe kwa kumsimika kashindye.

ikawa katika kukaa huko, siku za kupiga kura zikatimia....

Akamzaa mwanae, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni

Niwajibu wakijana huyo kwenda polisi yeye mwenyewe kama anachokisema anauhakika nacho. Polisi kwa upande wao wanawajibu wa kumtafuta kijana mtoa taarifa ili awasaidie kuwafichua wahalifu bila kujali kama ni wa CCM au CHADEMA. Mwigulu apeleke ushahidi polisi na sio kwenye majukwaa ya kampeni.

Crashwise,
Nape amezuiwa kwenda Igunga kufanya kampeni- Rostam aliyeitwa gamba ameombwa, Nape amepewa idara nyeti sana maalum ya kutoa mabongo ya chadema. Mimi ningekuwa Nape ningejiuzulu ili niachane na udhalilishaji huu.

Kwenye red, ni aibu kwa kiongozi kama wewe kutoa mchango wa kishabiki na uongo ulio wazi.
Kweli siasa zetu zimekuwa uongo uongo tu!

Si mlishasema igunga ni yenu wanacdm? Na huyo mgombea wenu hana nyumba?

Labda shehe hataki nyumba ifukizwe msuba jamani?
kamata hii, tupa choo cha stendi ya mabasi.
Kamata msuba, zimua, then, kamata mwenye hii useless post, mpe za chembe.

magamba bwana linaongea kwa huruma huku nafsi inamsuta ama kweli ukiwa mnafki ujanani zeeni utkuwa mchawi

Kwani Chadema wamenyimwa unyumba?
Wakinyimwa huwa wanaopt kwa wake za watu na kwa wanawake waliochika!!

REJEO, si vizuri kudhalilisha wanawake popote pale na hasa katika jukwaa hili la GREAT THINKER.

Unamshambulia Regia bila akili wala busara, yeye ameonyesha upande mwingine wa shilingi wala yeye hajatoa maoni yake binafsi. Ungekuwa na busara au hata akili kidogo ungemshutumu aliyegeuza jukwaa la kampeni kupeleka majungu wakati polisi wanaendelea na uchunguzi. Wewe na Mwigulu wako ndio hamfai kabisa kuwa viongozi kwa sababu mnafikiri kwa mioyo yenu badala ya kutumia ubongo. Poleni sana watumwa msiofikiri, kuku mlio ndani ya tenga mkiachiwa hamtoki!

Hivi Mwita25 leo yuko wapi? kweli CCM imebakia majengo tu yaani kwishnei. maana hata anti Ritz hajajitokeza hapa, chupi imewabana.

Mwita25 nadhani amepigwa ban, ila anatumia id nyingine, angalia vizuri hiyo ya Radhia Sweet

nadhani nani anayeshabikia hujui maada maana CCM, CCM wametega mtego wamenasa wenyewe ya nini sasa kulalama jambazi yakipigana wakati wa kuporana wao kwa wao nani asikitike we vip hujamuelewa nini,

Crashwise,

Nape amezuiwa kwenda Igunga kufanya kampeni- Rostam aliyeitwa gamba ameombwa, Nape amepewa idara nyeti sana maalum ya kutoa mabongo ya chadema. Mimi ningekuwa Nape ningejiuzulu ili niachane na udhalilishaji huu.
kwa hiyo nepi kapewa kazi ya kishenzi wakati magamba originale yanafanya kazi za maana?
Kuna teja mmoja alimwambia kijana mmoja pale kinondoni, ''changanya miguu wewe ukamate mchuma, acha kutembea kama bata jike'' si unajua bata jike linazungusha masaburi yake kwa mbwembwe likitembea? Basi, palichimbika pale kituoni,,,,zilichapwa ngumi mpaka defender ya osterbay polisi ikaja.
Sasa naona kuna bata jike mwingine kuleee! Mtaa wa nanihii paleeee karibu na mnazi mmoja.

mambo hayo ya kumwagiana tindikali mnayoleta cdm wafanyieni hao hao ccm mkijaribu kwa cuf mtajuta kuzaliwa.

huko mirembe nako kuna internet? sasa wamewezaje kuwapa huduma hii watu wagonjwa ili hali watu wenye akili nzuri mashuleni wanahitaji?

Yaani hizi picha mbili zimenichekesh mpaka basi, huu ndiyo haswaa uungwaji mkono wa CCM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Endeleeni kuhesabu sahani tu, Oktoba wenzenu watahesabu kura halafu nyie mtaanza ooh tumechakachuliwa.
Siasa si kama mahusiano mkuu, usiamini kuwa hao kwenye picha 'wanaichuna' tu Ccm halafu watalala kwenu. Ohoo..

ukweli una uma eeh imekupain safi sana mumevuna mabua sasa mwisho wa ubaya mauti

Kama unatafuta bwana sema tukupe site za magay wenzako, hapa JF ni hoja kwa hoja na sio vihoja, this is too low to me, don't follow me i will blast your ass m.o.t.h.e.r F.u.c.k.e.r.

Mkuu unahasira sana.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…