Michelle Hilton
Senior Member
- Jun 26, 2011
- 141
- 15
Endeleeni kuhesabu sahani tu, Oktoba wenzenu watahesabu kura halafu nyie mtaanza ooh tumechakachuliwa.
Siasa si kama mahusiano mkuu, usiamini kuwa hao kwenye picha 'wanaichuna' tu Ccm halafu watalala kwenu. Ohoo..
CCM inaungwa mkono na watu wenye akili za kushikiwa wakifuatiwa na majangili tu.
Dada ahasante kwa habari hizi. Nimesikitika kuona Nchembe anavyoongea kinafiki, nimetamani Mungu ashushe jiwe limbondembode pale jukwaani. Huu ni ufisadi wa maisha ya watu, uzandiki wa ccm, mauaji ya kinyama na ushenzi uliopitiliza. Nawalaani timu yote ya kampeni ya ccm igunga akiwemo fisadi tembo NKAPA kwa kuwafanyia vijana masikini huo uharamia.
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?
Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.
Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
Punguza mapovu mtego mtege wenyewe kuingia muingie wenyewe halafu msingizie wengine na bado watakapotajwa waliotoa pesa ndipo mtakapoijua gogogo kwa kijapani inaitwaje.achen unafik watakamatwa tu mlio watuma na huyo mwanaccm mliemrubun awasemee itakula kwake wauwaji nyie
Tunasubiri hilo tukio ujinga wenu ndio unawaponza kwa vile huwa mnatuarifu in advance lakini usisahau kama ulivyoandika "To every action there is equal and opposite reaction".Mnatapa tapa kutengeneza video nyie Chadema kaeni macho mda wote CCM wanaandaa kujibu mapigo! Mnaleta siasa za kitoto yani mnamumwagia mtu tindikali halafu mnamtafuta mtu ajifanye ni CCM ampinge Mwigulu! Kaeni mkao wa kupokea tukio Igunga! "To every action there is equal and opposite reaction"

Imewatachi eh.......niliwaambia manati huwa haipigwi hivo ikiwa imegeuzwa.

Mimi tangu nipo mtoto nimekua nawaamini sana walemavu ni watu waaminifu sana lakini dada yangu Regia kama umejiingiza kwenye propaganda hizi za Chadema unaondoa hata uaminifu tulio nao kwa walemavu!
Nani atakuwa na imani nawewe ambaye umelemaa akili?hovyoooo

Mimi tangu nipo mtoto nimekua nawaamini sana walemavu ni watu waaminifu sana lakini dada yangu Regia kama umejiingiza kwenye propaganda hizi za Chadema unaondoa hata uaminifu tulio nao kwa walemavu!

yeye hajahusika, ila mgawo wake ndio umehusika

Mimi tangu nipo mtoto nimekua nawaamini sana walemavu ni watu waaminifu sana lakini dada yangu Regia kama umejiingiza kwenye propaganda hizi za Chadema unaondoa hata uaminifu tulio nao kwa walemavu!