<br />Mpaka sasa ni dakika ya 20 kipindi cha kwanza. CCM wanaongoza Magwanda 3-0. Mpaka halftime nadhani itakuwa 7. Ila nasikia wanataka kumwingiza yule fowadi wao wa kutumainiwa Zitto Kabwe aongeze nguvu manake hali ni mbaya kwakweli.
Uzinduzi wa kampeni za chama cha wanainchi CUF zimepelekea leo wakazi wa mji wa igunga kusimamisha shughuli zao na kufunga maduka ili kupata nafasi kwenda kumpokea Prof Ibrahim H Lipumba na kumsikiliza kwa kweli watu ni wengi mno wanasema wakazi wa Igunga haijawahi kutokea hapa Igunga kufanyika maandamano na mkutano wa mkubwa namna hii, ambapo Prof Lipumba aliingia
FAL LETE PICHA SIO UNABWABWAJA BWABWAJA TU!
<br />TindiKali hatari sana hivi yule kijana mpenda amani anaendeleaje?
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.
Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!
Sijaona ufunikaji wowote hapo!
Sijaona ufunikaji wowote hapo!
<br />Mkuu unajua hao watu kwenye picha hawafiki 1000.
Mratibu wa kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Igunga Mh. Mwigulu Nchemba akiuhutubia umati wa wananchi leo uliofunja rekodi ya mkutano wa Slaa wa Chadema uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika kata ya Nkinga wilayani Igunga na kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
<br />Kwahiyo ccm imeshashinda sio? ccm ccm ccm.