Smartboy
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 1,111
- 129
<br />Mpaka sasa ni dakika ya 20 kipindi cha kwanza. CCM wanaongoza Magwanda 3-0. Mpaka halftime nadhani itakuwa 7. Ila nasikia wanataka kumwingiza yule fowadi wao wa kutumainiwa Zitto Kabwe aongeze nguvu manake hali ni mbaya kwakweli.
<br />
Jamani sijui mimi ndo sioni au nini. Yaani viongozi wa ccm na mashabiki wao kama huyu akili ni moja wanapenda kujipaisha bila sababu, sasa si afadhali viongozi wangebaki vilaza mashabiki watoe mawazo ya kujenga na kurudisha hadhi ya chama cha babu yangu badala yake saiv mashabiki wanashiriki indirect kuua chama bila kujua. Haya endeleeni kua chama chenu mkidhani mnakijenga.