Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mpaka sasa ni dakika ya 20 kipindi cha kwanza. CCM wanaongoza Magwanda 3-0. Mpaka halftime nadhani itakuwa 7. Ila nasikia wanataka kumwingiza yule fowadi wao wa kutumainiwa Zitto Kabwe aongeze nguvu manake hali ni mbaya kwakweli.
<br />
<br />
Jamani sijui mimi ndo sioni au nini. Yaani viongozi wa ccm na mashabiki wao kama huyu akili ni moja wanapenda kujipaisha bila sababu, sasa si afadhali viongozi wangebaki vilaza mashabiki watoe mawazo ya kujenga na kurudisha hadhi ya chama cha babu yangu badala yake saiv mashabiki wanashiriki indirect kuua chama bila kujua. Haya endeleeni kua chama chenu mkidhani mnakijenga.
 
wakimsubiri toka saa 2 mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba ambaye aliwasijli saa 8 mchana na kupokelewa na umati mkubwa wa watu ambao haijapata kutokea katika mji wa igunga na kupelekea watu kufunga maduka na kwenda kumsikiliza ambao ktk uwanja wa sokoine kulifurika watu ambao ni wengi wengi kupita mikutano yote iliyopata kutokea hapa igunga, mapema akiwasili hapa akiwa amepata gari linalo kokotwa na punda akiwa na mgombea wa ubunge Leopold Mahona.
 
Uzinduzi wa kampeni za chama cha wanainchi CUF zimepelekea leo wakazi wa mji wa igunga kusimamisha shughuli zao na kufunga maduka ili kupata nafasi kwenda kumpokea Prof Ibrahim H Lipumba na kumsikiliza kwa kweli watu ni wengi mno wanasema wakazi wa Igunga haijawahi kutokea hapa Igunga kufanyika maandamano na mkutano wa mkubwa namna hii, ambapo Prof Lipumba aliingia
FAL LETE PICHA SIO UNABWABWAJA BWABWAJA TU!
 
Kwa hiyo watu walifunga maduka kwenda kumshangaa Lipumba kwenye gari linalokokotwa na punda au walifuata nini??
 
Tunashukuru sana kwa kuamua kutuoneshea utaila wako ambao umesababishwa na magamba, nafikiri utakuwa umeshapewa t-shirt na mke wako kama siyo mpenzi wako ameshapewa khanga, mmeshaoza na kuanza kutumia tumbo kufikiri. Acha utoto umekomaa ww unataka mpaka tukupigie ngoma ndo ujue kuwa umekua looooo! muone kwanza!
 
Uhuru halina hadhi hata ya kuwa toilet paper,uhuru ni sawa na kinyesi cha mbwa ambacho hakifai hata kwa mbolea,TO HELL UHURU NA SISIEM YAKO, DAMN.
 
ingawa ni haki ya mtu kuchagua au kuchaguliwa ningekuwa mpiga kura wa Igunga ningechagua Chadema. Sababu ni kukipa nguvu zaidi dhidi ya CCM. na vilevile kimeonyesha nia ya dhati ndani ya bunge kuibua hoja dhidi ya mafisadi na maovu mengine. sababu nyingine ni hali ya CCM kuwachanganya watu pale ilipomuwajibisha ROSTAM kisha ikamiuweka mstari wa mbele kumnadi mgombea wao. Ina maana huyu mtu ni gamba tayari hivo hakustahili kupelekwa huko huko ni kuahadaa wananchimaana mchafu atawezaje kusema mazuri ya mwenzake?
 
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!

Kwani wewe ndiyo wapiga kura wote na Igunga? Heshimuni uchaguzi wa wananchi.
 
Mratibu wa kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Igunga Mh. Mwigulu Nchemba akiuhutubia umati wa wananchi leo uliofunja rekodi ya mkutano wa Slaa wa Chadema uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika kata ya Nkinga wilayani Igunga na kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
 

Attachments

  • IMG_0767.JPG
    IMG_0767.JPG
    344.6 KB · Views: 59
Duh jamaa mbona katoa mawazo yake cz ndivyo halmashauri ya kichwa chake kinavyofikiri possibly anaweza kuwa sahihi coz watu wa tabora nzima huwambii kitu kwa ccm angalieni wabunge majimbo yote yako CCM so watashinda hata IGUNGA
 
Mratibu wa kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Igunga Mh. Mwigulu Nchemba akiuhutubia umati wa wananchi leo uliofunja rekodi ya mkutano wa Slaa wa Chadema uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika kata ya Nkinga wilayani Igunga na kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.

ndugu kwa kukusaidia labda kama nitaweza ni kwamba siku zote unapofananisha vitu ni lazima uwape kwanza wahusika vitu hivyo viwili ama zaidi
ya viwili ili watu wafananishe na kufikia maamuzi kipi ni kizuri ama kibaya. lakini wewe unatuletea picha moja na wewe huyo huyo unawaamulia watu
kuwa hiki ni kizuri kuliko kile kingine hapo you have turned the whole argument into a joke and wasting of time.
 
Kwahiyo ccm imeshashinda sio? ccm ccm ccm.
<br />
<br />
Hilo siyo la kuuliza mkuu, ngoma inogile hiyo! Si unacheck nyomi babake. Iyena iyena iyena iyena CCM nambari wani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom