Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
<br />
<br />
Suala lako la kukiri ccm imepwaya kwa mengi inatosheleza kuelezea utabiri wako wa kishekh yahaya ni wa kimasaburi kwa kusema cdm itapitwa na ccm,cuf,sua,cck na vipandikizi vingine vya ccm ni UJINGA alioupiga vita mwl. Halafu huna busara kuwaambia wana jf wamekurupuka kuchangia hoja zao hapa. Aliyeiandika hii thread ndo amekurupuka kuja kuleta umbea wake aliotumwa na kina nape hapa.
 
hata wana igunga hawakusikii
Nawanukuu wana Igunga jinsi walivyokuwa wanasema, Ujanja wa CDM tumeishaijua wakiona maji yamewafika shingoni huanza kupiga kelele kuwalaumu polisi, usalama wa taifa na vyombo vya dola.
Wamesahau kwamba chama cha cha CDM hakijawahi kuwa hata na ofisi hapa Igunga, hii iliyopo imefunguliwa mwaka huu, leo wanakuja hapa wanasema CDM kitashinda, kitashinda kwa wanachama wangapi?
Hao vijana waliomwagwa jimboni hapa kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa Jimbo hili?
 
mwananch?
 
Umerudi tena Mpwa, karibu mwaya, leo umelipwa bei gani??
Dada Elli.., wewe najua unaweza kuongea lolote wewe si nyumba ndogo ya Mbowe, hali ndio hiyo jimboni Igunga CDM wanaonja joto la Uchaguzi
 
Naona umeshiba ubwabwa wa magamba wa Igunga unakuja kucheua humu
 

Huna lolote hata siasa hujui......yaani ni kama Obama aiunge mkono Republican na Democrat kisa usomi?........mazuri yepi ya CCM?
 

mawazo ya kimasaburisaburi!!
 


hatutaki uzandiki na ufataani!
 
ndani ya CCM kunafukuta -- yetu macho.
Fuso, Unajua maana ya Katibu mkuu Taifa na mwenezi wa Chama Taifa kupigana biti hadharani? Wote hawa ni wajumbe wa Secretarieti ya Chama. Ndo wanaopaswa kuwa na Siri za Chama. Lazima wawe na mtazamo mmoja, kama upo unaisha kwenye vikao. Secretarieti ndo kinachotengeneza agenda za kamati kuu. Je, nini maana ya Chama kutokuwa na Secretarieti iliyo na mtazamo mmoja? Hii inanikumbusha habari iliyoletwa humu ndani ya JF na M M mwanakijiji kuhusu mzee aliyesema ktk ITV kuwa hatakufa mpaka CCM ife kabla yake. Mzee yule akafa wiki iliyofuata.
 
<br />
<br />

wewe leo umekuwa looser kwa maoni yangu na kwa taarifa yako sio wote wanao crtisize Magamba ni CDM wengine hawana vyama ila kwa mtu mwenye akili timamu zinazofanya kazi vizuri hawezi hata siku moja kuishabikia CCM, na hapa bara CUF haina nguvu inabebwa na Wapemba wa huko Zenji...
Na CDM siku zote wako fair ndio maana waliamua kuinga mkono CUF kule Zanzibar,
CUF kwa hapa Bara wamebaki kua magarasa tu na uchu na tamaa za madaraka hebu kumbuka ishu ya Ubunge jimbo la Ubungo.
 
we ni demu wa machame nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…