Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Bw. Henge, Mim silipwi nina ujira wangu na biashara zangu kaka.....pia mim sio mshabiki KAMA wewe! Na kama kweli wewe na wengine ni wachambuzi, wazalendo na watenda haki, kwanini mkurupuke kabla hamkufanya tafiti km habari hii ni ya kweli? Mbona wahukumu juu juu? Thread hii ingesema CCM hoi taaban Igunga, naamin ww na wenzako mngepongeza na mngesema NABADO......! Kwetu sisi watazamaji CDM wana hoja sana kwa sababu CCM imepwaya kwa mengi Lakini namna CDM inavyo drive towards kwenye hoja za msingi ina kila sababu ya kutiliwa mashaka makubwa.....Hata uchangiaji wenu nyinyi wana CDM hauna tofauti na kiiu-CDM...(Mmekosa busara katika kuwasilisha hoja zenu) Nihitimishe kwa kusema kuwa kwa mwenendo wenu...HAMTOFIKA POPOTE MTAZIDIWA AIDHA NA CCM YENYEWE AU VYAMA VINGINE VITAKAVYO SOMA WEAKNESS YENU NA KUJENGA HOJA YA MSINGI YA KUWASILISHA MAMBO MTAKAYOSHINDWA KUTOKANA NA JAZBA ZENU!!!! YETU MACHO!!!

Suala lako la kukiri ccm imepwaya kwa mengi inatosheleza kuelezea utabiri wako wa kishekh yahaya ni wa kimasaburi kwa kusema cdm itapitwa na ccm,cuf,sua,cck na vipandikizi vingine vya ccm ni UJINGA alioupiga vita mwl. Halafu huna busara kuwaambia wana jf wamekurupuka kuchangia hoja zao hapa. Aliyeiandika hii thread ndo amekurupuka kuja kuleta umbea wake aliotumwa na kina nape hapa.

Hiyo kijani kibichi: Kwa nini alikazania sana hiyo kitu?
Changanya na zako!

Alitaka kuwapa waandishi hii kitu......ni kawaida kwa magamba

eur5by3.jpg

hata wana igunga hawakusikii
Nawanukuu wana Igunga jinsi walivyokuwa wanasema, Ujanja wa CDM tumeishaijua wakiona maji yamewafika shingoni huanza kupiga kelele kuwalaumu polisi, usalama wa taifa na vyombo vya dola.
Wamesahau kwamba chama cha cha CDM hakijawahi kuwa hata na ofisi hapa Igunga, hii iliyopo imefunguliwa mwaka huu, leo wanakuja hapa wanasema CDM kitashinda, kitashinda kwa wanachama wangapi?
Hao vijana waliomwagwa jimboni hapa kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa Jimbo hili?

mwananch?
gazeti la mwananch wanajfanya wanatoa habar za kchunguz kumbe n za kipuuz...yan upeo wao ulpoishia n kuwa bla kutoa habar za kzushi za ccm hawauz,,thc z stupid!inafka ha2a had anawaulza amewakosea nn?hatuwez kufka kwa styl hi na mabogus km nyie mnaamin na kuleta upuuz wenu hapa...polen washkwa mackio(mafuac wa chadema)

Umerudi tena Mpwa, karibu mwaya, leo umelipwa bei gani??
Dada Elli.., wewe najua unaweza kuongea lolote wewe si nyumba ndogo ya Mbowe, hali ndio hiyo jimboni Igunga CDM wanaonja joto la Uchaguzi

Naona umeshiba ubwabwa wa magamba wa Igunga unakuja kucheua humu

Hivi ninyi watu wa CDM mnataka tu successful stories from CDM tu? Mbona mnakuwa kma sio wasomi? Msomi wa kweli ni yule anaetazama pande zote mbili, kusikiliza na kuchambua maoni ya pande zote mbili...wengi wenu mliochangia kwenye hii thread hamkuchukua hata dk 2 kuprove kama kuna ukweli katika taarifa hii badala yake mnakurupuka kuponda habari hii!

Mimi co wa CDM wala nini wala siko Igunga lakini nashangaa kila inapoletwa habari mbaya kuhusu CDM mnang'aka lakini ikiletwa habari mbaya kuhusu CCM na vyama vingine mnafurahia.

Hii inaonyesha wazi kuwa wengi wenu sio positive thinkers bali ni washabiki wa vyama vya siasa TENA Chadema!!!! Kwa bahati nzuri hatuombi tickets kuchangia mada hapa...so mtegemee critizism kutoka upande mwingine na sio habari ya kufurahisha CDM pekee!

Huna lolote hata siasa hujui......yaani ni kama Obama aiunge mkono Republican na Democrat kisa usomi?........mazuri yepi ya CCM?

ikiwa ni takribani wiki moja baada ya vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea ubunge jimbo la igunga, mkoani tabora kuanza kampeni zake.
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimeanza kuonja joto la kampeni baada ya wananchi wa jimbo hilo kuonyesha dhahiri kwamba ni bora kulipigia kura jiwe kuliko mgombea wa cdm, joseph kashindye.

Baadhi ya wana igunga wakiwaambia wenzao cdm ni chama cha watu wa kaskazini sio cha wana igunga cdm kila mwezi kinapata ruzuku milioni 300 niambieni hapa ni lini ofisi yenu ya wilaya imewahi kupatiwa fedha za kuendesha ofisi au hata kuwalipa posho viongozi wenu?

Kujitokeza kwa rostam azizi, gamba kuu la ccm, ndio limetibua kila kitu cha cdm mashabiki wa magamba wamembana dr slaa, na tindu lissu, walete uthibitisho wa ufisadi wa rostam azizi waliosema pale viwanja vya mwembe yanga mwaka 2007.

Gamba kuu rostam azizi katibua matumaini yetu alisema kada mmoja wa cdm kutoka moshi, kuna uwezekano mgombea wa cdm joseph kashindye, kugawana kura na wagombea wa afp staven making na sau john maguna.

Jana cuf kwenye mkutano wao ndio wametibua kabisa kila kitu kutoka hali ni ngumu alisema mwana cdm aliepo hapa igunga akitokea kilimanjaro

mawazo ya kimasaburisaburi!!

Hivi ninyi watu wa CDM mnataka tu successful stories from CDM tu? Mbona mnakuwa kma sio wasomi? Msomi wa kweli ni yule anaetazama pande zote mbili, kusikiliza na kuchambua maoni ya pande zote mbili...wengi wenu mliochangia kwenye hii thread hamkuchukua hata dk 2 kuprove kama kuna ukweli katika taarifa hii badala yake mnakurupuka kuponda habari hii!

Mimi co wa CDM wala nini wala siko Igunga lakini nashangaa kila inapoletwa habari mbaya kuhusu CDM mnang'aka lakini ikiletwa habari mbaya kuhusu CCM na vyama vingine mnafurahia.

Hii inaonyesha wazi kuwa wengi wenu sio positive thinkers bali ni washabiki wa vyama vya siasa TENA Chadema!!!! Kwa bahati nzuri hatuombi tickets kuchangia mada hapa...so mtegemee critizism kutoka upande mwingine na sio habari ya kufurahisha CDM pekee!

hatutaki uzandiki na ufataani!

ndani ya CCM kunafukuta -- yetu macho.
Fuso, Unajua maana ya Katibu mkuu Taifa na mwenezi wa Chama Taifa kupigana biti hadharani? Wote hawa ni wajumbe wa Secretarieti ya Chama. Ndo wanaopaswa kuwa na Siri za Chama. Lazima wawe na mtazamo mmoja, kama upo unaisha kwenye vikao. Secretarieti ndo kinachotengeneza agenda za kamati kuu. Je, nini maana ya Chama kutokuwa na Secretarieti iliyo na mtazamo mmoja? Hii inanikumbusha habari iliyoletwa humu ndani ya JF na M M mwanakijiji kuhusu mzee aliyesema ktk ITV kuwa hatakufa mpaka CCM ife kabla yake. Mzee yule akafa wiki iliyofuata.

Hivi ninyi watu wa CDM mnataka tu successful stories from CDM tu? Mbona mnakuwa kma sio wasomi? Msomi wa kweli ni yule anaetazama pande zote mbili, kusikiliza na kuchambua maoni ya pande zote mbili...wengi wenu mliochangia kwenye hii thread hamkuchukua hata dk 2 kuprove kama kuna ukweli katika taarifa hii badala yake mnakurupuka kuponda habari hii!

Mimi co wa CDM wala nini wala siko Igunga lakini nashangaa kila inapoletwa habari mbaya kuhusu CDM mnang'aka lakini ikiletwa habari mbaya kuhusu CCM na vyama vingine mnafurahia.

Hii inaonyesha wazi kuwa wengi wenu sio positive thinkers bali ni washabiki wa vyama vya siasa TENA Chadema!!!! Kwa bahati nzuri hatuombi tickets kuchangia mada hapa...so mtegemee critizism kutoka upande mwingine na sio habari ya kufurahisha CDM pekee!

wewe leo umekuwa looser kwa maoni yangu na kwa taarifa yako sio wote wanao crtisize Magamba ni CDM wengine hawana vyama ila kwa mtu mwenye akili timamu zinazofanya kazi vizuri hawezi hata siku moja kuishabikia CCM, na hapa bara CUF haina nguvu inabebwa na Wapemba wa huko Zenji...
Na CDM siku zote wako fair ndio maana waliamua kuinga mkono CUF kule Zanzibar,
CUF kwa hapa Bara wamebaki kua magarasa tu na uchu na tamaa za madaraka hebu kumbuka ishu ya Ubunge jimbo la Ubungo.

Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!
we ni demu wa machame nini?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom