KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
<br />Bw. Henge, Mim silipwi nina ujira wangu na biashara zangu kaka.....pia mim sio mshabiki KAMA wewe! Na kama kweli wewe na wengine ni wachambuzi, wazalendo na watenda haki, kwanini mkurupuke kabla hamkufanya tafiti km habari hii ni ya kweli? Mbona wahukumu juu juu? Thread hii ingesema CCM hoi taaban Igunga, naamin ww na wenzako mngepongeza na mngesema NABADO......! Kwetu sisi watazamaji CDM wana hoja sana kwa sababu CCM imepwaya kwa mengi Lakini namna CDM inavyo drive towards kwenye hoja za msingi ina kila sababu ya kutiliwa mashaka makubwa.....Hata uchangiaji wenu nyinyi wana CDM hauna tofauti na kiiu-CDM...(Mmekosa busara katika kuwasilisha hoja zenu) Nihitimishe kwa kusema kuwa kwa mwenendo wenu...HAMTOFIKA POPOTE MTAZIDIWA AIDHA NA CCM YENYEWE AU VYAMA VINGINE VITAKAVYO SOMA WEAKNESS YENU NA KUJENGA HOJA YA MSINGI YA KUWASILISHA MAMBO MTAKAYOSHINDWA KUTOKANA NA JAZBA ZENU!!!! YETU MACHO!!!
<br />
Suala lako la kukiri ccm imepwaya kwa mengi inatosheleza kuelezea utabiri wako wa kishekh yahaya ni wa kimasaburi kwa kusema cdm itapitwa na ccm,cuf,sua,cck na vipandikizi vingine vya ccm ni UJINGA alioupiga vita mwl. Halafu huna busara kuwaambia wana jf wamekurupuka kuchangia hoja zao hapa. Aliyeiandika hii thread ndo amekurupuka kuja kuleta umbea wake aliotumwa na kina nape hapa.