Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
mamluki mmeanza!
mkipewa taarifa mnasema mamluki, nyinyi kweli ma dikteta.nanai atakupa habari uanzotaka wewe tu kila siku? acha ushamba JF haina lengo la mono vision dominance!
 
Mzushi mkubwa!!!
Mkuu, kama una namba ya simu ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, muulize kwa nini alilazimika kuliondoa jina lake dakika za mwisho?
 
mkipewa taarifa mnasema mamluki, nyinyi kweli ma dikteta.nanai atakupa habari uanzotaka wewe tu kila siku? acha ushamba JF haina lengo la mono vision dominance!
Kanyasu, unajua tatizo la Pro-CDM-JF, wao kila siku wanataka habari ya kuisifia CDM tu kila wakati
 

hahahahahaaa!!!
kicheche kimeliwa na kuku!!
 
Mkuu hapa ni Zanzibar na hayo magorofa ni yale yanayopigiwa kelele kwa uchakavu. Hiyo picha ni inshara ya Muafaka, hapo sio Igunga Mzee, labda igunga ya kusadikika; muwe mnakuwa smart ya ujinga wenu, kichwa maji...
Hii picha inaonesha CCM imeibeba CUF.
CCM na CUF vinaonekana pia kama ng'ombe mmoja ambaye kichwa ni CCM na kiwiliwili ni CUF.
 
Upuuzi mtupu, picha hii si ya Igunga, ni ya Zanzibar wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010. Inaashiria ndoa ya ccm na cuf
 
Ni lazima tuwapongeze sana wana MDEBWEDO kwa kufunikia

Hongereni nyumba ndogo
 

Kwani cha ajabu ni kipi?? hata kama ni kweli kutofautiana ni kitu cha kawaida kwa binadamu. Ndio maana hata sura zinatofautiana. Hakuna chama cha siasa katika tanzania chenye nafuu, vyote vimejaa matatizo matupu. Ukiwaona magamba sasa hivi wako kama mkate uliokatwa slices. Ukiwaona cdm humo ndani kuna wengine wamepandikizwa na magamba na hawana hata aibu ya kufanya kazi waliyopewa. Ukifika cuf siku hizi huyu ni mke wa mtu hatusemi kazi yake ni kuwananga wenzake na kutafuta namna ya kumfurahisha mzee. Huko tlp uongozi wa juu ni magamba kwa hiyo unategemea usikie uvundo gani?? na tlp ni ndugu wa damu na nccr mapinduzi hawa ni nyani na ngedere. Fikiria la kwako wewe binafsi la kufanya kama hujafikia kiwango cha kufikiri kwa masaburi.
 
Lisemwalo lipo, kama halipo? .......
CDM Igunga wanalalamika hawa viongozi wa taifa walileta watu wao wakasimamia shughuli zote kuanzia kuchukuaji wa fomu ndani ya chama chenyewe hadi kwa msimamizi wa Uchaguzi wa serikali na hili kwetu limetukera sana, wametufanya sisi hatuna maana yoyote au ni watoto" amesema kiongozi mwingine wa chama hicho wilayani humo
 

Habari ya Uhakika haiwezi at the same time ikawa Tetesi
 

sijui kwa hili mimi nisemeje?
 
Hapo kwenye red watakuwa:
1. Mwita25
2. Ritz
3. Ngongo
4. Mzee wa Mawe
5. Faiza Fox
6. Mlengo wa kati
7. Ibwe
8. John Marwa
9. Malaria Sugu
10. Mgungamwiba

Du, kumbe wenzetu wapo kazini!
 
chadema wameanza kutumia propaganda kupitia magazeti, Leo wanazindua kampeni zao na habari tulizozipata mambo ni magumu sana
 
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…