Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Kama shehe Yahaya.......... WOte watabiri tuuuuuuuu................ Tena mwenzao alikwenda mbali zaidi kwa kusema raisi atakuwa mwanamke
 
Natamani ungekua umefanikiwa kupata picha ili tukajionea na sisi.... hiyo ni "trela" tu, movie kamili 2015
 
Labda picha za harusi watu hamna kabisa unadhani na yeye ataki kuleta picha? Anataka sana labda ukuletee picha za Mafuso ya CDM
tupatie picha ya mkulu ndani ya zile suti
 
Kumbe Malaria Sugu anatafuna kale ka mtandao hapa chini kwenye matangazo (Yaani T...........go). Du! wabongo mna mambo nyie.!
Hawa ndio vijana wa BAVICHA utawajua tu kwa maneno yao
 
Hapa kuna fuso zimetoka Moshi na vijana ambao ni washiriki wa mkutano wa uzinduzli wa kampeni, wapiga kura za Igunga wamekaa nje ya mkutano. CDM aibu imewapata; wanaona aibu kupiga picha, wansubiri WACHAKACHUE HALAFU BAADAYE WAWATUMIE mlio nje ya Igunga:msela:
 
Who cares nani kaachia ushuzi ndani ya NEC au CC?
CCM wameoza, wananuka and Tanzania as a country doesn't need those MINUKO.
 
Kwa hiyo wewe kwako watu wa Tandale wote ni wahuni?

Muulize makamba kama watu wote wa kariakoo ni wahuni.
Maana alishawahi kudai eti, "Huwezi kuleta wahuni wa kariakoo kwenye mdahalo na njaa zao halafu wanakuja kudai ccm imewanyima chakula".
 
Nipo mkutanoni watu ni wengi sana haijawahi kutokea,muda si mrefu picha zitawekwa
 
Sasa CUF si wamempeleka Makamu Wa Rais Wa Zanzibar.....nawapambe..,na vimuli muli kama vya Pinda na protocal zote..wapo kwenye serikali atiiii......wao na CCM ni partners....maana watu wa jinsia moja wakiungana wanakuwa partners ati.....au ni wenzaa...
 
Pamoja na mapenzi yangu kwa CDM nadhani nayohaki ya kuvaa hivyo! Kwani anaweza kutinga suti kumbe keshauza chama kwa suti, tunawona waliouza nchi yetu kwa suti 5 tu
 
HATA WASIOMJUA Ritz lazma watajua imekaa karibu na Rizi1
Riz1 na uzaifu wake wote lakini hawezi kuwa Bogus kama huyu mtoa mada, by the way Riz1 atafute nini kwenye mitandao wakati mihela kedekede wanahongwa hadi suti.
 
Reactions: LAT
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…