Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The rality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

CCM: Jamani njooni kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama chetu cha MAGAMBA, msikose kufika, kuna PILAU, SODA, NYAMA CHOMA SAWA!

WANANCHI: Hatudanganyiki! Hatudanganyiki! Hatudanganyiki! Nendeni huko Nzega na pumba zenu!

Katika uchaguzi uliopiti wa mwaka 2010 tulishuhudia wagombe wa ubunge wakiongozwa na Mgombea Urais kupitia chama cha magamba (CCM) wakikwepa midahalo ya moja kwa moja iliokuwa ikirushwa na TBC1 kupitia kipindi cha MCHAKATO MAJIMBONI pamoja na kile kilichokuwa kimeandaliwa na TCD (Tanzania Centre for Democracy) kupitia ITV. Nadhani sasa wakati umefika kwa wagombea wa vyama vyote kushiriki mdahalo wa moja kwa moja pasipo masharti kama yale tuliyoshuhudia ktk uchaguzi wa mwaka jana. Naimani mdahalo huu utawapa nafasi wananchi wa Igunga kupima uwezo wa wagombea hao then mwisho wasiku wafanye maamuzi sahihi, pia itasaidia kuelezea watanzania juu ya hali na mwenendo wa siasa ulivyo sasa! Natoa hoja!

hahahahahaha! Naunga mkono hoja kwa asilimia zote ukijumlisha nyingine kama hizo. Dr. KAFUMU AFUMULIWE!

Kwa mujibu wa gazeti la habari leo na mwandishi raphael lucas hayo chini ndio maneno aliyoyasema mkapa mara
baada ya kushuka kwenye Gari huko Igunga tunaomba polisi wafungue kesi kama walivyowafungulia CDM
kuhutubia bila ya kibali.

"Mkapa atua Igunga Lakini Mkapa baada ya kutua Igunga, aliweka bayana kuwa amefika kupambana na kumnadi mgombea wa CCM kwa kuwa anajisikia faraja na matunda ya CCM yakiwemo kutembelea barabara ya lami kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza.

Akiwahutubia wananchi katika Kitongoji cha Makomero alisema kuwa ni muhimu kwa wana Igunga kupuuza vyama vingine kwa kuwa CCM ikitoa ahadi, inatimiza na viongozi wake ni makini.

“Kazi yetu ni moja tu, kila mtu ahakikishe Dk. Kafumu anashinda na kila mtu ambaye amejiandikisha aende kupiga kura ili mambo yawe poa,” alisema Mkapa.

Maskini Mkapa. ameenda Igunga kichwa kichwa hakujua majembe ya CHADEMA Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Heche, Sugu wako kule. aibu tupu!

Kama kweli wataahirisha hiyo kesho, basi watakuwa wamepigwa bao la kisigino, kama waswahili wasemavyo. Kwa Mzee wangu Mkapa, ambayo yamesha semwa kwako yanatosha, usijifanye kufa na kamba shingoni. Huko Mataifa, bado wanakuheshimu pamoja na makosa fulani fulani ya Kiufundi, lakini wanajua kabisa, wakikupa TOR, kazi unaiweza. Ila hili la Igunga ungewaachia vijana wako waende. Hembu kaa pembeni kama alivyokaa Mzee Madiba, na ufanye mambo yako ya Kimataita, hawa wakuite wakati wa vikao kutoa ushauri tu. lakini kukimbizana na vibajaji sio saizi yako Mzee. Ni ushauri wa bure tu!

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Baada ya jana CHADEMA kuuteka mji wa Igunga na CCM kujikuta kwenye wakati mgumu leo wameshindwa kuzindua kampeni kama walivyotangaza na kufanya maandalizi hapo awali na hii ni dalili kuwa wamejua moto uliowashwa jana ni mkubwa mno.

Sasa wameamua kuwa wataenda kuzindulia kampeni zao kijiji kinaitwa Choma na hiki kipo mpakani na Nzega , inawezekana wanataka wabebe watu kwa malori siku hiyo na uzinduzi sio kesho wala kesho kutwa .

Nawapa taarifa hiyo , hadi baadae.

• Thanks
Reactions: EMT
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The rality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

Ni wewe huyo huyo uliyesema jana kuwa mkutano wa CDM ni watu wachache. Picha zilipowekwa ukafyata. Kama ni kweli weka picha hapa. Nadhani unahitaji kwenda pale milembe ukapate tiba na utahudumiwa vizuri.

Rostam kafanya mamboz? Safi sana RA. Anywy wakisikia tu Peoplezzzzz wanatetemeka.

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Mkuu Nape,
Hii shida umeichangia kwa kiasi kikubwa baada ya kusema umetuma watu wengi mitandaoni kujibu mapigo, watu ambao ninaamini unawalipa fedha za chama, tangu hilo tangazo lako tukaanza kuona vituko hapa jamvini na mabingwa wa kusoma kila bandiko na kujibu kulingana na mapenzi yako. U should be ashamed first kabla hujashugulika na huyu. kwa hilo ulilolifanya na kulitangaza hadharani

Kwa hakika Pictures NOT vipi lies!!!!!!!! Nina maswali mawili mnijuze wanajamvi, vyama vya upinzani vimejipanga vipi kudhibiti uchakachuaji wa kura? Maana naona karata iliyobaki kwa hawa wenzetu wa miaka 50, ni ufundi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo. La pili, naomba mnijuze, huyu DED wa Igunga, Protase Magayane, hivi ndiyo huyu aliyesoma Lutheran Junior Seminar (LJS) miaka ya 80's?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom