Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,973
- 9,572
kwenye blue.Mkuu Nape,
Hii shida umeichangia kwa kiasi kikubwa baada ya kusema umetuma watu wengi mitandaoni kujibu mapigo, watu ambao ninaamini unawalipa fedha za chama, tangu hilo tangazo lako tukaanza kuona vituko hapa jamvini na mabingwa wa kusoma kila bandiko na kujibu kulingana na mapenzi yako. U should be ashamed first kabla hujashugulika na huyu. kwa hilo ulilolifanya na kulitangaza hadharani
Siyo fedha za chama Mkuu, Nape anatumia kodi za watanzania kuwahonga members wa magamba!