Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
...From body indexes point of view, yes, he might have just done that!! :hail:

amewahi kusoma mazingira ana siku nyingi hajaenda ndo maana alikuwa anashangaa kukuta barabara ya lami.vile vile amewahi akapewe umbea.mia

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.

<br / Umejihakikishia wizi Mwita? That is very disappointing man, mi sina chama lakini kama mwananchi na kijana you are talking nonsense guy.

Wamefanya makusudi ili kuwagawanya watu! Walijua akiingia igunga siku ya uzinduzi wa campaign za CDM watu watakimbilia kumwona rais mstaafu lakini hawajafanikiwa maana nyomi la CDM ni nouma!

Kabla ya kutoa kauli yako ungefanya utafiti kwanza ili ujiridhishe kutetea mwono wako.

Kaulimbiu ya CHADEMA

Viongozi na wanachama wa CHADEMA waliamua kutoa kaulimbiu isemayo: “Kashindye ashinde, Kafumu afumuliwe.”

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alisema umati uliohudhuria katika uzinduzi wa kampeni hizo ni kielelezo kuwa chama hicho ni makini na kinapaswa kuiongoza serikali, hivyo ni vema CCM wakajiandaa kuondoka Ikulu.

Alisema Rais Kikwete alipelekwa Ulaya kununuliwa suti, halafu akatoa maeneo kwa mwekezaji mwenye asili ya Uarabuni, wakati wananchi wake wako katika matatizo makubwa.

Alibainisha kuwa wakati wa utawala wa awamu ya pili maisha angalau yalikuwa na nafuu, lakini alipokuja Mkapa mambo yakawa mabaya zaidi

licha ya kutuambia uchumi unakua zaidi.

Amekuja mzee wa kutabasamu (JK), mambo yamekuwa mabaya zaidi, miaka 10 ya Mkapa ilikuwa nafuu zaidi kuliko miaka sita ya Kikwete.

“Inakuwaje wakati wa Mwinyi mambo yalikuwa angalau kidogo, lakini kadri tunavyokwenda ndivyo mambo yanazidi kuwa mabaya zaidi tofauti na huko tulikotokea?

“Kila kukicha JK anakwenda Marekani kuombaomba, wakati hapa nchini kuna rasilimali lukuki. Kila akikosolewa anasema safari hizo zina manufaa makubwa sana kwani tunafadhiliwa sana, tunapata vyandarua vya nchi, Rais wa nchi anakwenda kuomba vyandarua wakati akiwaachia Wazungu wakinufaika na fedha zinazotokana na madini! CHADEMA hatutatumia muda wetu kuomba vyandarua, bali tutatumia rasilimali zetu kununua vyandarua na mahitaji muhimu kwa jamii.

“CCM ijiandae kukabidhi madaraka kwa taifa. Polisi tunawaomba mtuachie CCM tupambane nao, ukombozi wa taifa hautaletwa na rangi za bendera za vyama au uzuri wa watu, bali dhamira za kweli za viongozi wake. Hamjabebwa na watu kuja hapa kama wanavyofanya hao wenzetu, tunawashukuru,” alisema Mbowe.

namkubali mbowe kwa kupanga maneno yenye mantiki

Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?

Hebu muulize hivi mkapa;,atajisifiaje na barabara za lami hizi zilizopo wakati kwenye kilomita 84000 za barabara zote nchini wameweka lami 1% tu? Kuna chakujisifia hapo kama imechukua miaka 50 ya uhuru kujenga 1% ya barabara kwa lami?

Sasa kama hawana ushahidi wa Kagoda watapata wapi ajenda za kuongea mikutanoni. Maana hawa jamaa ajenda yao kubwa ni ufisadi........ufisadi.........ufisadi. Sasa sijui hata hawajui kama kuna mambo mengine ya kuongelea kama barabara, maji, umeme, shule, hospitali...........
wewe unaishi? hujawahi kusikia Dr wa ukweli akiongelea kuhusu nyumba za tembe na namna ya kuwasaidia wananchi kupata nyumba bora, hujawahi kusikia akiongea barabara, na si barabara tu hata reli tena kwa treni ziendazo kasi, lakini shule ameongelea sana kuboresha elimu.

Naona magamba huwa mnapata palpitations na priapism mkimsikia Dr anaongea kiasi kwamba huwa hamkumbuki kaongea nini, pole yenu.

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.
utembee uchi mara ngapi ? kuipenda ccm pekeyake ni sawa na kutembea UCHI MBELE YA WATOTO WAKO AMA WAKWE ZAKO.
hakuna timamu aweza kutembea uchi,. kwa wazo lako la kutembea uchi ni kielelezo kuwa wenye akili hawapo ccm.
Kuipenda ccm ni kujidhalilisha, kujidharau na kujisaliti.
Waelevu wote walitoka kitambo, mmebaki watu wenye akili za Kina Tambwe Hiza , Makamba na Kingunge....! Chama cha watu dhaifu kufikiri.

Duh watakuwa wamegombea posho nini maana hawa jamaa kwa hela hawawezekaniki.

Hiyo kauli mbiu ni ya kimipasho zaidi. Chadema tunataka kauli mbiu ya kimapinduzi na kimaendeleo! Mipasho tumwachie yule baba ya taarabu.

Kwa hiyo mkuu haujaona typos kwenye post yako kama LAT alivyojitahidi kukuonesha? Basi kweli wewe utakuwa ni kilaza ....
Na wewe ujaona tatizo la LATIFA kila anavyoandika anaanza na herufi ndogo au kwa sababu Magwanda mwenzako? Kweli akili yako Masaburi matupu

Hata kwenye kampeni za mwaka jana watu walijaza sana mikutano yenu lakini kilichofuata ni aibu kwenye matokeo. Kama wingi wa watu ndiyo ushindi, basi hongereni sana. Lakini ninachojua mimi watanzania wengi huwa wanafuata na wanachagua sera
1. hizo sera za ccm ni mgao wa umeme na kukodi jenereta za mafuta mazito za kufua umeme, huku serikali inauwezo wakuzinunua kulikoni?
2. sera nzuri za ccm kutoa bei ya pamba angalizi , baadaye kurudi kinyumenyume kuibadilisha kwa masilahi ya wanunuzi uchwara huku hao wanunuzi wakufaidi stimulus package ya reccesion , hizo ndo sera nzuri?
3. si muda mwafaka kulaghai watanzania kwa sera zisizo na manufaa , nakuwaacha wanateseka

Ili wasichakachue JF reporter wawepo pale kuanzia malori y ao yapigwa picha na yatoke ktk vyombo vya habari; hii sasa ni lala salama wanajf tuamke hili la malori sasa liwe wazi; kupumbazwa tumechoka; wasiwasi wangu asije kujikuta anajihubiria mwenyewe

aisee hyo ni noma sana alafu waje watuambie eti ccm wanachao igunga labda waibe kura kwa njia za maajabu lakini tofauti na hilo awana chao pale

Hebu tukumbushane kidogo baadhi ya ufisadi alio ufanya

Duh yaani tukianza kuelezea ufisadi wa mkapa tutamaliza muda,naomba tuongelee Igunga kwanza alafu kwanini tunaficha ukweli au nikupunguza makali mnasema ufisadi badala ya WIZI nitatizo ata rushwa mkaibatiza TAKRIMA,duh misamiati ovu hiyo hao ni WEZI tu and by 2015 wote watakua jera under CDM.

Kafumu-(kaganga ka kienyeji),ndio maana ya jina la huyo jamaa!

Ili wasichakachue JF reporter wawepo pale kuanzia malori y ao yapigwa picha na yatoke ktk vyombo vya habari; hii sasa ni lala salama wanajf tuamke hili la malori sasa liwe wazi; kupumbazwa tumechoka; wasiwasi wangu asije kujikuta anajihubiria mwenyewe
Kuchakachua itakuwa ngumu awamu hii. upepo mbaya sana kwa magamba!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom