Baada ya kumaliza madili yao ya kuuza migodi na madini yetu bure kwa wazungu sasa wanasaidiana kutafutiana ulaji bungeni siyo?? Nafikiri jitihaza za Mkapa siyo bure. Labda anataka aende huko ili akaongeze nguvu iwapo mambo yataibuliwa bungeni huko mbeleni.
Naomba kuuliza, hivi Mkapa alishawahi kumpigia nani mwingine kampeni zaidi ya JK?? So what is so special about this man??? Is he doing this for CCM, Igunga, himself or this guy???
Huyu Mzee analazimika kufanya hivi kwa sababu ya maovu aliyoyafanya angekuwa clean asingekubali kupigia kampeni chama kichafu namna hii.Anaogopa maana wenzake wanamtisha kuwa kama CCM ikianguka hata yeye hatapona kufikishwa mahakamani hata kama atakuwa kwenye Cage kama yule wa MISIRI.