mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Labda katishiwa asipoenda watafumua maufisadi yake so imebidi awe mpole c unajua zake JK kumtumia kila mtu pale atakapo la umeenda tofauti nae kisasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.

na hapa ni baadhi ya wanaccm wakisombelewa na Maroli kupelekwa kwenye mikutano, hahahaaaah chama kinakufa hiki, Nani anabisha ?

Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?
unadhani ni habari za mwaka jana, hahhaaaha pole , umesahau Juzi kulikua na msiba wa Roli lililobeba wanaccm lililoua mtoto, wewe uko wapi, uko China ama ?

Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?
dereva anakipara au Nepi mwenyewe nini?...na hapa ni baadhi ya wanaccm wakisombelewa na Maroli kupelekwa kwenye mikutano, hahahaaaah chama kinakufa hiki, Nani anabisha ?

hatuhitaji kuwabeba , hatuhitaji kuwanunulia fulana wala kapelo, hatuhitaji kkuwalipa posho za kuuzulia vikao....wanakuja kwakua wanaimani nasi

ingekuwa huku kwetu mnaenda na mabango ya kumdai kwa ufisadi alioufanya akiwa ikuluUnajua wasanii ambao walikuwa wanatumiwa na chama cha magamba ili kuvutia watu wajae kwenye kampeni zao wamegoma, hivyo wakaona ni vyema kumtumia huyu mzee kutokana na umaarufu wake watu watajaa kwenye mikutano ili kumuona, kwa kufanya hivyo watajazwa sera. CHAMA HOYEEE!

ingekuwa huku kwetu mnaenda na mabango ya kumdai kwa ufisadi alioufanya akiwa ikulu