Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Dah,

Watu kweli wabunifu,

Hiyo kitu imetulia sana.

Watu wana vipaji sana,

sema basi tu serikali yenyewe ndio hii isiyojali raia wake kwa kuweka mazingira mazuri kwa watunzi kama hao.

Duh hata mi nimeikubali hiyo.

Hata kwenye kampeni za mwaka jana watu walijaza sana mikutano yenu lakini kilichofuata ni aibu kwenye matokeo. Kama wingi wa watu ndiyo ushindi, basi hongereni sana. Lakini ninachojua mimi watanzania wengi huwa wanafuata na wanachagua sera

Hizi ajira za Nape sijui zitadumu hadi 2015 au mwisho wake ni mkutano mkuu wqa 2012???

Masikini ccm, mbona waliobebwa wengi ni watoto? Aibu!!
Sasa ulitegemea mtu mzima na akili zake na P.U.M.B.U zake atakubali upuuzi huo wa kupakiwa kwenye FUSO? wewe angalia vizuri hao watoto kuna hata mmoja alievaa viatu? hao yawezekana wana miaka 10 hawajawahi kupanda gari.

Hii picha inasikitisha saana, ukiiangalia kwa makini utaona hilo lory wengi ni watoto tena labda wamepanda ili kuona raha ya kupanda gari. pia ukiangalia zaidi utagundua asilimia kubya ya watu hao hawajavaa viatu, wamevaa yebo na ndala. wanahitaji ukombozi wa kweli

Mkuu hujaangalia vizuri, watoto wengi wako peku na they are just enjoying the ride na sivinginevyo!

slaaa.JPG
apa .jpg
mbowe.JPG
5.jpg
4.JPG
9.JPG
315905_245861295450129_135719259797667_617237_167530387_n.jpg

Kwa mtaji huu kama CCM wanataka kushinda 2015 inabidi akina MS, Karanga, Mrs Foxy, Mwita 25 et al. waachane na propaganda za humu JF waende kwa wanannchi!! Humu JF inaelekea wanaisaidia CDM zaidi ya kuibomoa.

Hivi uoga huu uliopitiliza wa Chadema kumuogopa/kumhofia Mkapa unaashiria nini ?

Kwa mtaji huu kama CCM wanataka kushinda 2015 inabidi akina MS, Karanga, Mrs Foxy, Mwita 25 et al. waachane na propaganda za humu JF waende kwa wanannchi!! Humu JF inaelekea wanaisaidia CDM zaidi ya kuibomoa.
Quote of the day.

Labda katishiwa asipoenda watafumua maufisadi yake so imebidi awe mpole c unajua zake JK kumtumia kila mtu pale atakapo la umeenda tofauti nae kisasi!

Mkapa na na huyo Kamishina wa madini wanajuana, Mkapa anashare yake kule North Mara Lazima amtete jamaa yake kwani ndiye aliyefanikisha hilo dili!

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.

Wallahi Chadema wakichukua jimbo la Igunga mimi naacha kazi.

Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
Umeshasema haina ushahidi wa kutosha sasa sielewi unataka waropoke. No research no right to argue.Kagoda inawapunguzia CDM kura kwani CDM ni watendaji wa serikali??? Think like lawyer plz.

Chadema wakichukua Igunga mimi nahama mji narudi kijijini Komuge.

Ni ndio ari mpya nguvu mpya na kasi mpya Tanzania nzima......... Riding from Dsm to Dodoma and elsewhere cud tel u Tanzania inavyokuwa jangwa....... Na hawa wafanya maamuzi wanaona, wanajua, na ndio wananufaika hizo biashara kichaa za kuigeuza Tanzania jangwa.......

na hapa ni baadhi ya wanaccm wakisombelewa na Maroli kupelekwa kwenye mikutano, hahahaaaah chama kinakufa hiki, Nani anabisha ?
5.jpg

Hahhahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa watawasomba sana! Wawe makini tu wasiwadondoshe watu toka kwenye hilo fuso maan naona wengine wamening'inia.

LATIFA,
Kila siku nakuambia jifunze matumizi ya herufu kubwa na ndogo, angalia sasa kumbe na wewe Kilaza, Teh teh teh teh

Kwa hiyo mkuu haujaona typos kwenye post yako kama LAT alivyojitahidi kukuonesha? Basi kweli wewe utakuwa ni kilaza ....

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.
Hebu apa kama yule ndugu yako Tambwe hiza, halafu utimize, nafikiri unakumbuka aliapa nini wakati anahamia Magambani

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom