Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
kwenye blue.
Siyo fedha za chama Mkuu, Nape anatumia kodi za watanzania kuwahonga members wa magamba!

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Vipi Mkuu Mafuso hayajafika katika eneo la kugawia Khanga na Kofia? Mkuu nasikia wewe ndio bingwa wa kugawa Khanga kwa Kina mama. Nisalimie yule Mpangaji wetu wa Magogoni mwambie aje kwangu nataka kumnunulia Kizbao cha kuvalia Suti.

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.

Ndugu yangu inaonekana wewe hujatumia akili yako vizuri kutoa ahadi kali namna hiyo...inamaana wale wananchi wote waliojitokeza jana igunga ni wajinga au???acha mawazo mabaya namna hiyo, umati ule umewakilisha hisia za watu milioni 40 sio hisia yako moja tena inawezekana wewe ni moja ya mafisadi wa kutupwa nchini..kama ungekuwa na huruma na nchi yako usingeweza kuongea namna hiyo..shame up on u...

Igunga amka kukabiliana na mafisadi na msikubali kudanganyika na kofia na tshet ambavyo vitawagarim kama yanayoikumba tz ya leo

Akili zako bwana kama za Koffi Olomide kwa kweli .Yaani Chadema waache kuelezea kwa nini Chadema wapewe jimbo waanze na Kagoda ambayo walisema na ukweli uko wazi kabisa .Ujinga huu kweli unaoleta hapa wataka tuache kujadili mambo ya msingi tuanze majungu ?Upuuzi huu wa kipuuzi .

Wameshindwa kuwalipa Posho zao, sasa ameamua kuingia mwenye mtandaoni kujibu baada ya aliowatuma kugoma baada ya kuona hawafaidiki na Hizo Kofia na Khanga. Sasa Wamekuwa waasi baada ya kufundishwa na Ma-great thinker wa JF kuwa wanachotetea ni unyanyasaji zidi ya Walalahoi

[SIZE=4 said:
ritz[/SIZE];2473674]Anza kuandika na herufi kubwa mbona uelewi wewe!!!

angalia ulivyo kilaza na mpuuzi...... ID yako imeanza na herufi gani ... narrow thinking "ritz"

ignorance is vast spreading on you .... !

endelea kupayuka

Leo umemwachia nani kazi yako ya kupiga ban wana CCM?

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Mkuu; badala ya kutusaidia, umeongeza utata. Hebu tupatie ukweli kwa vielelezo kama picha n.k. Vielelezo vina nguvu na hukanusha louder than maneno matupu mkuu.

Reactions: LAT
na hapa ni baadhi ya wanaccm wakisombelewa na Maroli kupelekwa kwenye mikutano, hahahaaaah chama kinakufa hiki, Nani anabisha ?

mbona ni watoto wadogo? au sikuhizi umri wa kupiga kura ni miaka 8?

Nakumbuka ulivyoropoka kuwa Rostam ni FISADI lazima ajivue gamba. Juzi umeropoka tena kuwa hakuna mtu mzuri kama Rostam. Kama una tabia za uwongo jaribu kutunza kumbukumbu!

Nina wasi wasi na afya yako ya akili Mkuu!
juzi alikataa kuwa pinda/msajiri wa vyama kuwa hajatoa barua za kuwataka ccm na chadema wakuata kwenye swala la meya wa kichina

Angalia hizo picha za Chadema Igunga, na fananisha na msafara wa Mkapa na mafuso ya kubeba wanafunzi sio kuja hapa na Kiengereza kisicho na kichwa wala miguu.

Ha hahahaha, mkuu umenikumbusha mbali sana na mambo ya matumizi ya bombastic words, O-level hasa form 2 kulikuwa na mashindano ya kuona nani anayeweza kuongea kiingereza kigumu na kuwaacha watu hawajamuelewa, nakumbuka kulikuwa na salamu kama How do you symbomiling your mabosity hapo unajiona upo juu wakati maneno hata kwenye modern English dictionary hayapo na hayatumiki kabisa. Effective communication should be able to send an intended message, using bombastic words only serve as noises and nothing else.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…