Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Ha ha ha! Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Sasa ameenda Zanzibar kwani yeye ndiyo askari wa uokoaji? Au wale waliopo Igunga hawana uchungu na msiba? Huyu jamaa mbona aliweka wazi toka mwanzo kwamba hawezi kwenda Igunga.
Source ya kuhairisha safari ya igunga na kwenda zanzibar imewekwa, na wewe weka source aliyosema hawezi kwenda igunga sio unabwabwaja kama bata,bwa! bwa! bwa!

companero mkuu nimekupata.Umetoa uthibitisho hapa jamvini.Sio kama Mzalendo anavamia na kufoka tu.Kwani ni watu wote wamesoma twiter ya zitto? Wakati mwingine tutumie busara kujibu tusichokipenda.Kila la kheri mpambanaji Zitto nitawatoa hofu na wengine.

MUNGU ATAWATANDIKA KWENYE KURA MANA TAIFA LINAOMBOLEZA MSIBA MKUBWA WA WAPENDWA WETU WAO WANAZINDUA MIKAMPENI YA KUCHUMIA MITUMBO YAO, ht MUNGU KESHAWACHOKA.

ccm, kwisha habari yake, watz wamebadilika wanataka maendeleo na si ukomedi. Pole sana mkapa pole ccm.

Uelekeo wa upepo ukoje kwa walioko Igunga? Hadi sasa tafiti zinaonyesha kuwa, kama kura ikipigwa leo, CCM inashinda kwa 58%, CHADEMA na CUF..... kazeni buti mazee!

kuna jamaa yangu ni mwl wa sekondari hapo Igunga kaniambia ameshuhudia malori kama 23 wameleta watu kutoka wilaya za jirani hasa Urambo

jamani wadau mliopo hapo vipi rostam yupo?je amesema nini?vipi amesema ccm inafaa kuendelea na uwakilishi wa jimbo hilo kwa sababu zipi?vipi kuhusu siasa uchwara zimeisha?na kama hayupo vipi wamesema kwanini rostam alijiuzulu?tafadhali mnijuze

nahisi ni vigumu sana kwa sasa chadema kuruhusu mamlluki kama mh...kuja kuharibu chama nashauri baki tu uko uliko njoo tukiwa magogoni nahisi kwa sasa ni mapema sana unaweza kuharibu taswira ya magogoni

Licha ya mafuso kuleta watu,mm mwenyewe nimepiga picha fuso nane,lakini bado uwanja haukujaa.pia jukwaa lilikuwa na uwanja mkubwa sana wazi katikati,tofauti na cdm ambao hujaa pote.ktk barabara za mjini hapakuwa na hekaheka zozote.usisahau gari la tot na jukwaa la taarabu liliziba nafasi katikati.sina sababu kudanganya hapa.rekodi ya chadema haikuvunjwa kwa vigezo vyovyote.nimepiga picha kwa cm

kwani wewe ni nani?

Burdani kwa tunaotoka kwenye mkutano mzito wenye hadhi ya kuhutubiwa na BIG BEN MKAPA. Pigeni porojo tu hapa JF soon nawarushia picha za kutano muone CCM inavyokualika Igunda hakuna cha CDM wala CUF hapa.

acha uongo wewe,kwani wewe ulikuwepo? Mbona watu waliohudhuria wametawanyika baada ya show ya Masanja? Nakuhakikishia mkishindwa Igunga na uongozi unafukuzwa.

masanja? yule jamaa wa comedy? nadhani wamejaa watoto tu! wakati watoto(below18) hawatapiga hata kura! magamba bwana!

Hakuna maelezo ya kijitosheleza hapo. Inakuwaje siku ya uzinduzi hakuwepo, ina maana hakualikwa. Ajali imetokea leo

Kaka kumradhi nia yangu ilikuwa kuweka sawa, sikutegemea ningemliza mtu yeyote hususan jemedari kama wewe, naomba upokee kumradhi yangu kwa roho kunjufu,tuko pamoja,asante

hebu weka hapa hizo picha! yani hadi toti walikuwa huko?

CCM ilikuwa ni lazima wavunje rekodi, wamewakodisha wasanii wengi, wakiwepo the Orijino Comedy. Wengi wa watu watakaoenda kwenye mkutano wataenda kwa ajili ya wasanii, si kwa ajili ya ccm.

Kama kawaida CDM haina haja ya kuleta wasanii ili kujaza watu mkutanoni, kwakuwa CCM wameleta Ze comedy basi CUF a.k.a CCM B kwenye uzinduzi wao wawalete FUTUHI.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…