mpiganiahaki
Senior Member
- Apr 28, 2011
- 170
- 67
ccmagamba kwishneyiiiiiii!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ya kuhairisha safari ya igunga na kwenda zanzibar imewekwa, na wewe weka source aliyosema hawezi kwenda igunga sio unabwabwaja kama bata,bwa! bwa! bwa!

Ha ha ha! Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Sasa ameenda Zanzibar kwani yeye ndiyo askari wa uokoaji? Au wale waliopo Igunga hawana uchungu na msiba? Huyu jamaa mbona aliweka wazi toka mwanzo kwamba hawezi kwenda Igunga.

zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe

Nimeahirisha safari ya Igunga. Naenda Zanzibar kufuatia msiba huu mkubwa kwa Taifa #ZanzibarBoatAccident

9 hours ago FavoriteRetweetReply

Niko kwenye uzinduzi wa ccm.anaongelea uzuri wa sera za ccm,anamsifu sana kikwete,mchango wa tz kukomboa nchi nyingine.anapiga propaganda.eti kwa nn wanaongelea shirika la reli na ndege tu? Anasifu udom.amesema wamesema sikujenga barabara.amekwepa kusema wamesema nimefanya biashara ikulu au eti najua kagoda.amempiga dongo dr.slaa.kwa kweli ni fyongo tupu.masanja alipomaliza,umati wa watu umeondoka.anafikia hata kuuma maneno na kuönyesha kusahau point.ccm imeshindwa kwa viwango vyote kuifikia chadema kwa analysis ya mkutano wa uzinduzi.
mimi, kama 'president elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo chadema kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la igunga.
Hii ni changamoto kwa chadema na wapambe wao hapa jf, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa igunga.
Jimbo la igunga ni karata dume, ambayo ccm wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu chadema kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman mbowe au mh. Zitto kabwe. Nasema tena, kazi kwenu chadema!

Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!

Burdani kwa tunaotoka kwenye mkutano mzito wenye hadhi ya kuhutubiwa na BIG BEN MKAPA. Pigeni porojo tu hapa JF soon nawarushia picha za kutano muone CCM inavyokualika Igunda hakuna cha CDM wala CUF hapa.

companero mkuu nimekupata.Umetoa uthibitisho hapa jamvini.Sio kama Mzalendo anavamia na kufoka tu.Kwani ni watu wote wamesoma twiter ya zitto? Wakati mwingine tutumie busara kujibu tusichokipenda.Kila la kheri mpambanaji Zitto nitawatoa hofu na wengine.

companero mkuu nimekupata.Umetoa uthibitisho hapa jamvini.Sio kama Mzalendo anavamia na kufoka tu.Kwani ni watu wote wamesoma twiter ya zitto? Wakati mwingine tutumie busara kujibu tusichokipenda.Kila la kheri mpambanaji Zitto nitawatoa hofu na wengine.
Licha ya mafuso kuleta watu,mm mwenyewe nimepiga picha fuso nane,lakini bado uwanja haukujaa.pia jukwaa lilikuwa na uwanja mkubwa sana wazi katikati,tofauti na cdm ambao hujaa pote.ktk barabara za mjini hapakuwa na hekaheka zozote.usisahau gari la tot na jukwaa la taarabu liliziba nafasi katikati.sina sababu kudanganya hapa.rekodi ya chadema haikuvunjwa kwa vigezo vyovyote.nimepiga picha kwa cm
Kama kawaida CDM haina haja ya kuleta wasanii ili kujaza watu mkutanoni, kwakuwa CCM wameleta Ze comedy basi CUF a.k.a CCM B kwenye uzinduzi wao wawalete FUTUHI.Niko kwenye uzinduzi wa ccm.anaongelea uzuri wa sera za ccm,anamsifu sana kikwete,mchango wa tz kukomboa nchi nyingine.anapiga propaganda.eti kwa nn wanaongelea shirika la reli na ndege tu? Anasifu udom.amesema wamesema sikujenga barabara.amekwepa kusema wamesema nimefanya biashara ikulu au eti najua kagoda.amempiga dongo dr.slaa.kwa kweli ni fyongo tupu.masanja alipomaliza,umati wa watu umeondoka.anafikia hata kuuma maneno na kuönyesha kusahau point.ccm imeshindwa kwa viwango vyote kuifikia chadema kwa analysis ya mkutano wa uzinduzi.