Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Magamba maji ya shingo.
Kafara ya mtoto haijatosha mkaamua kuzamisha watu wasio na hatia. Pumnzikeni wana magamba miaka 50 mliyo tawala inawatosha na mmejineemesha vya kutosha.

Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?

Wewe nduguyangu huna kazi?

umejaliwa unafiki,mimi pia niko igunga hayo unayosema ndo umetumwa?

Kweli Kizuri Chajiuza Kibaya Chajitembeza!! Ni Muda Muafaka kwa CDM kuwaeleza wana Igunga ukweli wa Mambo!! Je Ni Busara gani kuwaletea wananchi Ze Comedy Badala ya sera na waseme watawafanyia nini wananchi? Hii ni Dhihaka kubwa kwa wananchi!!!

Wasanii wa kibongo mabwege kweli ingawa kuna baadhi wanauchungu na jamii zao kama ROMA MKATOLIKI,Ambaye anaichana serikali bila uoga wowote....wasanii wengi wa kibongo kazi yao kutukuza kisicho CHEMA....wasanii mwende SHULE....Mnatumiwa na magamba kwa influence yenu mnakusanya wananchi ktk mikutano ya magamba...hamna huruma mnaichimbia jamii kaburi..nyie ndo mnaoibiwa kazi zenu kila sk kwann serikali haiwasaidii baada ya kuwatumia? sasa Masanja ameenda kutafuta nn? badilikeni bana.

@Kwa mwendo huu CCM inajiua yenyewe, hakuna sababu ya msingi kushindana na CHADEMA kwa umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni, kufanya hivyo ni kujisumbua na kupoteza muda tu. @Umati wa watu ni ishara au matokeo tu ya kisiasa, sio msingi kamili wa siasa. CHADEMA wao wamefanikiwa katika kupata umati wa watu, kwao ni ishara ya kukubalika & ni matokeo ya siasa safi wanazozifanya iwe bungeni au kokote kule, Kila mtu anatamani awaone & kuwasikia wanapofanya siasa zao. @Mambo ya CCM kubeba watu kwenye malori, kujaza watoto mikutanoni, au kuleta wasanii wa kutumbuiza ni ushamba, utoto na kupoteza muda&fedha. CCM hubirini sera zenu, fafanueni mambo ya msingi kisha mtaona wenyewe watu wakihamasika na kujaza mikutano yenu. Jifunzeni kwa CHADEMA namna wanavyofanya siasa safi inayopendwa na watanzania, nanyi mtafanikiwa tu, hakuna cha pesa wala uchawi, hapo ni juhudi pekee yake zitakazowasaidia.

Kama kujaza watu ndiyo kushinda uchaguzi basi acha tusubiri na tuone!

Hapa unaona nacheza kiduku?

CDM are not as many as CCM heavyweights so they can't all be @ the same place @ the same time, for continuity wengine lazima wabaki kwenye shughuli maalum , Igunga kipenga cha mwisho si October ? Basi si tu Zitto hata JK anaweza tia mguu huko kuokoa gamba

Labda swali la kujiuliza aliye'resign' ubunge wa Igunga yu wapi? Nayeye aje kuonyesha uzalendo actually presence yake itastir positive reaction, if people managed to cry for him...he can actually work magic in Igunga

Nimeshazoea pumba zako

Vipi Lema nae atakwenda Igunga au mnaogopa hatawachafulia Kampeni, akianza kumwaga pumba zake au ile issue ya kupora magari imemkalia pabaya

Sitaki kuamini kwako priority ni Campaign kuliko msiba!no wonder nanii hajaenda uko kwenye janga la taifa. Wapi hapo Zitto aliweka wazi kwamba hawezi kwenda Igunga?

Nafahamu unamfuata kwenye twitter na unajua sana kwamba jana alisema leo anaenda Igunga na leo asbh habari za msiba zilivitokea akasema ameahirisha anaenda znz ila unajaribu tu kupindisha ukweli

pamoja sana Mzalendo.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…