Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?
Niko kwenye uzinduzi wa ccm.anaongelea uzuri wa sera za ccm,anamsifu sana kikwete,mchango wa tz kukomboa nchi nyingine.anapiga propaganda.eti kwa nn wanaongelea shirika la reli na ndege tu? Anasifu udom.amesema wamesema sikujenga barabara.amekwepa kusema wamesema nimefanya biashara ikulu au eti najua kagoda.amempiga dongo dr.slaa.kwa kweli ni fyongo tupu.masanja alipomaliza,umati wa watu umeondoka.anafikia hata kuuma maneno na kuönyesha kusahau point.ccm imeshindwa kwa viwango vyote kuifikia chadema kwa analysis ya mkutano wa uzinduzi.

Wewe nduguyangu huna kazi?

@Kwa mwendo huu CCM inajiua yenyewe, hakuna sababu ya msingi kushindana na CHADEMA kwa umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni, kufanya hivyo ni kujisumbua na kupoteza muda tu. @Umati wa watu ni ishara au matokeo tu ya kisiasa, sio msingi kamili wa siasa. CHADEMA wao wamefanikiwa katika kupata umati wa watu, kwao ni ishara ya kukubalika & ni matokeo ya siasa safi wanazozifanya iwe bungeni au kokote kule, Kila mtu anatamani awaone & kuwasikia wanapofanya siasa zao. @Mambo ya CCM kubeba watu kwenye malori, kujaza watoto mikutanoni, au kuleta wasanii wa kutumbuiza ni ushamba, utoto na kupoteza muda&fedha. CCM hubirini sera zenu, fafanueni mambo ya msingi kisha mtaona wenyewe watu wakihamasika na kujaza mikutano yenu. Jifunzeni kwa CHADEMA namna wanavyofanya siasa safi inayopendwa na watanzania, nanyi mtafanikiwa tu, hakuna cha pesa wala uchawi, hapo ni juhudi pekee yake zitakazowasaidia.

Hapa unaona nacheza kiduku?

CDM are not as many as CCM heavyweights so they can't all be @ the same place @ the same time, for continuity wengine lazima wabaki kwenye shughuli maalum , Igunga kipenga cha mwisho si October ? Basi si tu Zitto hata JK anaweza tia mguu huko kuokoa gamba

Labda swali la kujiuliza aliye'resign' ubunge wa Igunga yu wapi? Nayeye aje kuonyesha uzalendo actually presence yake itastir positive reaction, if people managed to cry for him...he can actually work magic in Igunga
Mmezoea ushindi wa mezaniKama kujaza watu ndiyo kushinda uchaguzi basi acha tusubiri na tuone!

Nimeshazoea pumba zako

Ha ha ha! Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Sasa ameenda Zanzibar kwani yeye ndiyo askari wa uokoaji? Au wale waliopo Igunga hawana uchungu na msiba? Huyu jamaa mbona aliweka wazi toka mwanzo kwamba hawezi kwenda Igunga.

Kaka kumradhi nia yangu ilikuwa kuweka sawa, sikutegemea ningemliza mtu yeyote hususan jemedari kama wewe, naomba upokee kumradhi yangu kwa roho kunjufu,tuko pamoja,asante