MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Tena kwa nini kijana mahiri kwa kuropoka hovyo na katibu mwenezi wa ccm Nape Nnauye hajahudhuria uzinduzi wa kampeni za chama chake huko Igunga!? Au Masanja ni muhimu ccm kuliko Nape?<span style="font-family: fixedsys">Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni CCM igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na mjumbe wa NEC Edward Lowasa hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka wazee na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wengi wakuu na wabunge wa CCM walihudhuria.Naomba kuwasilisha</span>