Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Jamani nilikuwa natazama chanel 10, nimemuona Mzee Mkapa anahutubia Igunga, watu ni wengi, sasa nikilinganisha picha za magazetini walikuwa watoto, je hawa waleo wameletwa na malori, au Adobe imefanya kazi? I mean watu wamechakachua? watalamu wa Image analysis tunao kweli? watusaidie
 
CDM si wa kulaumiwa kwani wao bado wnataka kupata nguvu ya kushika dola ili walete sera zao huko Igunga hata wakitoa sera hazitasaidia sana kwani hawawezi kuzitekeleza kwa kuwa serikali inashikiliwa na MAGAMBA
 
Sasa Kama Ristam alijiuzulu sbb ya ufisadi wake(wizi)na viongozi wa juu wa ccm pmj na chama chao kwa ujumla wakasema wanajivua gamba!!!!,vipi Leo wamtumie mtu huyohuyo waliemtuhumu kwa ufisadi ili awasaidie ktk kampeni!?Nnatamani ningekuwa Mungu,sidhani Kama ccm na viongozi wake wangesalia tena madarakani au ktk ardhi hii!!!.
 
umejaliwa unafiki,mimi pia niko igunga hayo unayosema ndo umetumwa?
<br />
<br />
Nauliza tu na sio ujinga,hv Masanja,H.Kazinja na Dokii watawasaidia nini wanaigunga,duh hama kweli kazi hipo!NYINYIEMU KWISHAA!
 
Nimesikitika sana kumuona Ra kwenye jukwaa tena akitabasam,najua alitumia haki yake kikatiba kujiuzulu,lkn hakutazama hasara anayotutwisha wananchi ili uchaguzi ufanyike tena.

Hawa watu hawana washauri jamani? Ni juzi juzi alisema CCM, inafanya siasa uchwara,leo kafuata nini?

Pamoja na kodi zetu kutumika, bado muda mwingi wananchi wa Igunga hawatafanya kazi za kuzalisha.

Wana-Igunga fanyeni kweli kuondoa hawa watu magamba ujinga, maana wao wanaona ni wajanja na nyie ndio wajinga.
 
wana JF nanukuu kauli ya ndg rostam wakat anaachia ngazi huko igunga."Katika ulimwengu wa kibiashara wa leo, vita hivi ambavyo vinaweza kuonekana kuwa ni vidogo tu vyenye malengo ya kuchafuana kisiasa, vinakuwa na athari kubwa katika uhusiano wa kibiashara kuliko hata wale wasioelewa wanavyoweza kukadiria. Ndiyo maana nimeona ni afadhali sasa niwape nafasi wale wanaoendesha siasa hizi uchwara na zisizo na tija waendelee na siasa zao hizo ambazo kwa bahati mbaya kwao, mimi sina muda nazo na siwezi kuwa sehemu yake. Na mimi kwa upande wangu niendelee na maisha yangu." ebu tuyatafakali hayo maneno yenye rangi nyekundu inakuwaje leo hii rostam anasimama jukwaani kupigia debe siasa uchwara ambazo alisema hazina tija,hana muda nazo na hawezi kuwa sehemu yake.
 
Mtu unalinganisha apple na chungwa? Sasa masuala ya uchaguzi Igunga na uchumi wa Marekani yanahusiana nini? Hueleweki kabisa mkuu.
 
Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?
sipendi kukujibu lakini KAMA NDIO HOJA BASI ATAKUJA KUFUNGA ILI TUSHINDE HUO UCHAGUZI
 
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!

Sawa ndugu yetu macho na masikio
 
Vipi Lema nae atakwenda Igunga au mnaogopa hatawachafulia Kampeni, akianza kumwaga pumba zake au ile issue ya kupora magari imemkalia pabaya
Vipi mh.Sitta lini atahutubia hapo igunga,mjomba wangu na familia yake ya watu kama 16 hivi wapo hapo Igunga amesema hawatapiga kura kwa ccm kama Sitta hatakuwepo au mnaogopa atasababisha uvunjivu wa amani?
 
4.jpg


mmeona bango la Nape eh! huo ujumbe atakua kauandika Ndugu Nape Nnauye tuu, aliwahi kusema CDM ni cha wachaga
icon9.png
!
 
Ukweli CDM itashinda labda wachakachue, maana hata picha za gazeti la mwanachi la leo linaonesha picha za watoto si wapiga kura lna wakubwa wanaohudhuria wanaletwa na maroli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom