mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
Huyo Chenkapa atapoona matokeo ya kura atashangaa maana atagalagazwa bila huruma VIVA CDM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Na haya yote ni matunda ya CCM
<br />umejaliwa unafiki,mimi pia niko igunga hayo unayosema ndo umetumwa?
sipendi kukujibu lakini KAMA NDIO HOJA BASI ATAKUJA KUFUNGA ILI TUSHINDE HUO UCHAGUZIZitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.
Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!
Vipi mh.Sitta lini atahutubia hapo igunga,mjomba wangu na familia yake ya watu kama 16 hivi wapo hapo Igunga amesema hawatapiga kura kwa ccm kama Sitta hatakuwepo au mnaogopa atasababisha uvunjivu wa amani?Vipi Lema nae atakwenda Igunga au mnaogopa hatawachafulia Kampeni, akianza kumwaga pumba zake au ile issue ya kupora magari imemkalia pabaya
Vipi leo unalipwa overtime na bwana Vua gamba??<br />
<br />
mtoto acha kupiga mayowe