Tena kwa nini kijana mahiri kwa kuropoka hovyo na katibu mwenezi wa ccm Nape Nnauye hajahudhuria uzinduzi wa kampeni za chama chake huko Igunga!? Au Masanja ni muhimu ccm kuliko Nape?Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni CCM igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na mjumbe wa NEC Edward Lowasa hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka wazee na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wengi wakuu na wabunge wa CCM walihudhuria.Naomba kuwasilisha

Kama kujaza watu ndiyo kushinda uchaguzi basi acha tusubiri na tuone!
Mwita 25 atakujibu kwamba Kikwete hakuwa Znz kwasababu sio askari wa kuokoa lolKweli Zitto hakuhudhuria katika ufunguzi wa kampeni, lkn siy yeye tu kuna viongozi wengine hawakuhudhuria.

VIPI CCM:

>> Kikwete alikuwepo kwenye uzindizi?

>> mbona kikwete hakuenda Znz ? Lkn zitto leo katua huko.

Mwita 25 atakujibu kwamba Kikwete hakuwa Znz kwasababu sio askari wa kuokoa lol
Ooo, ikiwa upande wako huwa una majibu ya busara!

Hapana nitamwelewesha kuwa Kikwete ni Rais wa nchi na anawakilishwa na Makamu Wa Rais awapo safarini.
mimi sijasema kwamba CCM haijazeeka wala kwamba inafaaa kuendelea kutawala nchi hii. Pia kwenye ubongo wangu hakuna CCM wala CDM bali kuna Tanzania. Hoja yangu ni kwamba hoja za wagombea wetu kwenye kampeni za Igunga ni lazima zieleweke kuliko kutegemea mavungavunga ya vyama.Kiufupi CCM ndio imetufikisha hapa!!
Toa CCM kwenye ubongo wako na tutafika tu.

Kama kujaza watu ndiyo kushinda uchaguzi basi acha tusubiri na tuone!
Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?

Tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!.....Mavi ya kale hayanuki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!