Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Hili nimeshalitolea ufafanuzi tayari. Nimeuliza kwa mfano wanandoa wanaishi na kupata mtoto lakini baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na analazimika kudai talaka na ndoa inavunjika. Je ni kosa kwa mwanamke kutoa msaada kwa mtoto wake pale anapojisikia?
 

Ndoa sio watoto. Siasa ni kampeni, maana chama cha siasa kinanadi sera ili kikubalike na hatimaye kuchaguliwa na umma. Huo mfano ulitoa wa ndoa na watoto sidhani kama unafaa kuelezea ujio wa Rostam Aziz unless una defination mpya ya 'siasa'. Rostam anaweza akawa amekuja Igunga kusalimia 'watoto' kama unavyodai, lakini kinachoongelewa hapa ni kile kitendo cha kupanda kwenye jukwaa la siasa na kunadi sera za chama cha siasa.
 
kwa mpango huo sizani kama chadema watashinda igunga...maana ccm kwa mbinu wanashindwa but naona wanatumia uzoefu sasa..
 
we president gan! kwanza nyny ndo mamluk kaa huko huko, kwan cdm inahitaj watu wasaf na makin co nyny PUMB**VU NAPE MKUBWA WE, ALA. UCHINDWE KABISA.
 
<br />
<br />
kwa maana hiyo rostam ni mwanamke?
 
Rostam aliacha ubunge na sio uanachama wa CCM! Yupo Igunga kutetea chama chake CCM!
 
<br />
<br />
Wanaangalia ze commedy tu hapo c unajua kasafirishwa bure halafu wamepewa magunia ya deki (t-shirt) bure kwanini wasije?
Najiuliza ni lini CCM wataacha kutoa kofia, t shirt na kanga kwa kina mama, inabidi tuondoke katika dhana hii ya kampeni.
 
mtoa maada kuwa balanced sema wazi BWM kasema nini kwa summary mf niliyosikia redioni "

"CCM imefanya mengi mazuri kama kuwaletea maji toka ziwa victoria, na ina mpango wa kusambaza mikoa ya Singida na Tabora hao wanao pita pita kuwaambia CCM haijafanya lolote tangu uhuru wambieni tumeyaona maji nyie waongo''
 
watu hawa inawezekana wametoka wilaya zote za jirani kwa ajili ya kuja kumuona mkapa, ngoja kampeni zitulie ndio utajua ccm wako wangapi
kwa idadi hii niliyoiona ushindi wa CDM huko wazi maana ninavyofahamu mimi CCM debe walilopiga wiki mbili nzima la kukusanya watu na kutoa usafiri wa bure ungetegemea siyo uwanja kujaa bali mpaka kwenye miti hiyo ungeona watu wamejaa. kwa idadi ya kwenye picha hizi CCM ina hali ngumu ukizingatia uwanja huu ni mdogo umezungukwa zaidi ni vijumba kwa sababu ukimuangalia mtu wa mbele mpaka wa nyuma kabisa may be wanaweza kuwa 25M a part kwahiyo kama nilivyosema ni mapema lakini CCM ina hali ngumu kama hawa ndio watu walioweza kuwakusanya kwa wiki mbili na usafiri wa bure.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…