Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,169
Hili nimeshalitolea ufafanuzi tayari. Nimeuliza kwa mfano wanandoa wanaishi na kupata mtoto lakini baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na analazimika kudai talaka na ndoa inavunjika. Je ni kosa kwa mwanamke kutoa msaada kwa mtoto wake pale anapojisikia?