Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mie ndo kabisa, nasubiri mwaka ccm watakavyokuja Kilimanjaro kuomba kura ndo tuwahoji ilikuwaje?

hahahahah,,, hapo utawaweza mkuu,,, watayameza maneno yao, lakini hayataweza kumezaka tena, kwa sababu umma mzima utakua umeshayasikia, kuyatafakari na kuyaelewa

mbona janga la zanzibar limetokea leo na uzinduzi ulikuwa juzi? Ina maana hakualikwa kwenye uzinduzi? Mbona naibu katibu mkuu zanzibar alikuwepo?

so unataka siku moja tu viongozi wote wawepo?kila kiongozi kapewa ratiba yake na anamaeneo maalumu acha fitna wewe.

Kali ya zote ni mgombea wa magamba kusihi achaguliwe kama mkewe alivochagua kuolewa nae yani kama sio kutusi wana igunga ni nini sasa..?

Ametumia mfano ambao ni irrelevant na context kwa hiyo ni kitambulisho tosha kuwa huyu jamaa si critical thinker pamoja na cv ndefu aliyonayo.

Wito kwa wanaIgunga:
Pamoja na kampeni hzi kuwa ni za kitaifa zaidi waangalie wakati wagombea wanapopewa nafasi ya kuongea wanaongea nini cha maana kwa ajili ya wanaigunga

Aaaaaa,nimecheka sana,,,,though am alone here,,,,,,amekosa cha kuwaambia????jaman huyo ni wa kumuangalia sana,unadhan bungen atasema nini????ataenda kuwa rafiki wa mbunge wa MTERA

crap coz u know here we wanna evidence,dont kid us u dont ave any doc 2 justify ur claim.

Ccm imeamua kumuaibisha mbele ya umma kani yeye alikiabisha chama mbele ya wanacha,sasa wanamtia aibu.

uvae gwanda usivae haitusaidii, chadema ishinde isishinde maisha yataendelea mijitu ya ccm inafikiri kwa kutumia makario

Huna makabrasha wala ushahidi wa uliyoyasema acha kupotosha umma, Pili tupatie vyanzo vya mapato kwa vyama vyote out of subsidy wanayopata kwa sasa..

siasa nahisi ndiyo mchezo ambao huwa siuelewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Magezi huwa anakumbusha mara kwa mara kuwa kuwa mshabiki wa ccm LAZIMA UWE UNATUMIA MASABURI KUFIKIRIA NDO UWE MWANACHAMA WA MAGAMBA.
hawa jamaa si waongo ila ni wapumbavu angalau mjinga huwa anaari ya kufaham kitu ambacho hakielewi,lkn mpumbavu hana hata busara.Wanafurahia wananchi kutokuwa critical thinker kiasi cha kuwageuza mbele na nyuma watakavyo

kuna wakati nafikiria hivi vyuo vifunguliwe haraka maana mkiwa mtaani ni tatizo kubwa, japo nivyuo vya kata lakini vinasaidia kupunguza uchafu huku mtaani kwa kuwaweka busy. vp wewe upo chuo cha kumbukumbu ya mwl nyerere pale kigamboni au?

Mwal. nyerere wana kosa gani? MPAKA uhusianishe na hili jamaa?

Jamaani CDM watu wa ajabu sana hata mkiendelea na propaganda zenu humu JF sisi tupo field na CCM inang'ara. CDM wenyewe sasa hivi kimba inagonga chupi! Wana haha hawajui pa kukamata hawakutegemea jinsi wapenzi wa CCM walipotoka majumbani mwao bila kusafarishwa bali kwa kusikia tu CCM inamwaga sera. Msidanganyane humu semeni ukweli CDM wana hali mbaya sana huku Igunga kama mnadhani naongopa muulizeni hata MWITA WAITARA kama mkweli atawaambia. Maana kakata tamaa vijana wake aliowategemea kuleta fujo mjini wote wamelowa mara baada ya WANAUME kuzindua jana

duh, huwa sipuuzii taarifa. Ninachoshauri wasiliana na magezeti ya kizalendo (mwanahalisi, raia mwema) na wanasisa wazalendo wape hizo dokument, ili wazifanyie kazi.

Pia tutakuthamini zaidi iwapo utaiatach document hiyo kwenye jamvi hili ili tuendelee kujiridhisha na kuchukua hatua stahiki.

Mungu akubariki.

Mmmmh ndio Doctor huyo bhana, madokta wote wa CCM si ndio walivyo? yaani kabisa nimchague? nimchagueje? mmh mji.... kweli huyu, halafu ujue kama kawaida wakashangilia.....!!! huwa hawa watu hawafikirii hata kidogo ukishawavisha fulana na kanga kwisha habari yao!

Nimekubali wa2 ni wengi, je walio letwa na malori kutka wilaya jirani ni zaidi ya nusu yao?

aaaaaa,nimecheka sana,,,,though am alone here,,,,,,amekosa cha kuwaambia????jaman huyo ni wa kumuangalia sana,unadhan bungen atasema nini????ataenda kuwa rafiki wa mbunge wa mtera

anaitwa nani? Unaddhani atamkubali kafumu kwa kuwa ni fisadi?

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…